biashara ya duka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    Hakuna biashara isiyotengeneza faida kama hii. Sijui kwanini Wabongo mnakimbilia huku?

    Wakuu, Binafsi naonaga hii biashara ni kuzungusha hela tu. Yani watu wanafanya mazoea tu lakini hakuna faida Yaani naonaga watu wanafanyaga tu ili kupotezea muda na kuwa na chenji chenji muda wote lakini in reality hakuna faida ya kueleweka Kitu kinauzwa 500. Hapo unapata faida ya shingapi?
  2. youngkato

    Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kutafuta Leseni ya Biashara ya Duka la Dawa

    Kabla hujawekeza muda na fedha kwenye kufungua duka la dawa, ni muhimu ujue vigezo na masharti yanayoelekezwa na Baraza la Famasi. Kukosa kuyafuata kunaweza kukugharimu muda, pesa na hata kusababisha maombi yako kukataliwa. Hapa chini tumekuletea mwongozo: 1. REJAREJA / COMMUNITY PHARMACY Kama...
  3. youngkato

    Leseni ya biashara ya duka lako la nguo

    Kama una duka la nguo, leseni ni kitu muhimu sana kwenye biashara yako. Inakutambulisha kama boss halali wa biashara, inakuondoa stress ya kufungiwa ghafla, na inakufungulia fursa za mikopo na fursa zingine kubwa. Ukiwa nayo, unakua na uhuru wa kufanya biashara bila woga. Faida unazopata ukiwa...
  4. youngkato

    Jinsi ya Kupata Leseni ya Biashara ya Duka la fremu

    Umuhimu wa Leseni ya Biashara kwa Duka la Rejareja Inatambulisha biashara yako kama halali. 2. Inakusaidia kuepuka kufungiwa biashara na mamlaka husika. 3. Inakupa nafasi ya kupata mikopo, zabuni, na tenda mbalimbali. 4. Ni nyaraka muhimu ya kuanzisha akaunti ya biashara na kufanikisha...
  5. W

    Zamani nilikuwa nawaona wenye maduka ni wanoko kwa kutaka kujua kila kinachoendelea ila na mimi rasmi nimekuwa mnoko

    Hii ni post maalum hasa kwa watumishi wenzangu tunaofanya biashara za kuwaachia vijana bila kufuatilia details kwa undani. Zamani nilikuwa nawaona hawa wenye maduka kuwa wanaoko sana wa kutaka kujua kila kinachoendelea na kukiwa na short wanakuwa wakali mno nilikuwa nawaona harsh. Katika...
  6. W

    Kila kijana ninayemweka dukani anatafuta mwanya kunipiga hata niwajali vipi, nakosa nguvu za kuwaamini vijana wetu hata wa kike

    Vijana wanakuja kuomba kazi kwa heshima zote — mikono nyuma, wakionyesha upole, unyenyekevu, macho chini. Unaona kabisa huyu kijana ana kitu kuanzia potential, nia ya kufanya kaz, na kweli anaonekana kuhitaji hiyo nafasi. Unasikia kabisa moyoni, “mpatie kijana nafasi, sifa anazo” Na kwa moyo wa...
  7. Knock life

    Mtu umekaa katika taasisi kubwa ya kimataifa leo unaulizia biashara ya duka la mangi, Watanzania hebu kuweni makini

    Unaweza usimuelewe mswahili mtu ulikuwa unaingiza zaidi ya figures nane then leo unashindwa hata kuanzisha biashara ya mil 100. Hakika mswahili habebeki bora USAID ifutwe mbaya zaidi ukupenda kujichanganya na watu SAD.
  8. Jack Daniel

    Biashara ya duka na vitimbwi vya taasisi

    Ni tarehe 12 mwezi wa nane, Je una duka la vifaa vya ujenzi? Ulishawahi kukopwa mzigo mkubwa na mtu,kikundi cha watu,au taasisi? Vipi ulilipwa kwa wakati? Na wakati unadai pesa yako,ilikuwaje? Natamani hata nifunge duka nibadilishe biashara maana nimechoka kudai, Halafu sipewi majibu...
  9. L

    Niwekeze kwenye kufuga nguruwe au nifanye biashara ya duka?

    Habari wana JF husika na mada tajwa hapo juu' Mimi ni kijana wa miaka 23 baada ya kupambana na vibarua nimejikusanya mpaka nimepata milioni 7 ambapo nilitoa milioni tatu nikanunua kiwanja milioni moja nikaweka dharura ya kiafya pamoja na kodi za nyumba wakati mapambano yanaendelea hivyo...
  10. P

    Kwa mazingira yetu ya Afrika biashara ya duka la mahitaji ya nyumbani inaweza kukutoa katika umaskini

    Kwa ambao hatukusoma sana,si wajuzi wa teknolojia ya Hali ya juu,mitaji mikubwa changamoto kwetu,basi suruhisho la kututoa ktk UMASKINI ni biashara ya duka. Faida ya duka la mahitaji ya nyumbani,. I)uhakika wa kuuza bidhaa Kila siku kwani watu wengi...
  11. Ubungo Mataa

    Biashara ya bodaboda vs biashara ya duka la nafaka na mahitaji ya nyumbani

    Wanabodi.. Heshima mbele! Moja kwa moja kwenye msada, kuna 10M iko mahali, nawaza niiweke wapi kati ya kununua bodaboda nne niwape watu wakuleta hesabu kwa siku/ week ama nifungue duka ambalo roughly litakuwa kama la 8M maana 2M itaendwa kwenye running cost na kodi. Msaada!
  12. Mtenzeli

    Msaada: Biashara ya duka la mahitaji ya nyumbani

    Habari wadau, Naomba msaada kwa wenye uzoefu wa biashara ya vitu vya nyumbani. Naomba kufahamu makadirio ya mtaji, changamoto na uzuri wa biashara, na mahitaji yote ili kufungua biashara hii. Location ni kigamboni NB; Duka la kisasa(mfano wa mini supermarket). asanteni
  13. Mayova

    Ni kweli biashara ya duka haisongi bila ushirikina?

    Jamani naombeni mniambie ukweli kwa wale wazoefu. Hivi ni kweli huwezi kufanya biashara ya duka bila uchawi au biashara yeyote bila kuhusisha waganga wakienyeji?
Back
Top Bottom