biashara ya chips

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Nimepata Milioni 2 Biashara ya Chips naona ngumu, nawaza kuwekeza kwenye hisa

    Hamjambo? Kwenye harakati zangu za hapa na pale nimepata Milioni 2 ambayo sikuitegemea kama nitapata Mimi ni mwanafunzi wa chuo na sijawahi kufanya biashara kabisa. Nimeshauriwa kuanzisha biashara ya chips hapa mtaani lakini naogopa sana kuanza biashara maana sijawahi kufanya na sijui hata...
  2. JamiiForums Tanzania MSAADA BIASHARA YA CHIPS MKOA WA NJOMBE

    Habari za muda wana jf Katika harakat zangu za maisha nimejikuta tu nadondekea njombe. Nina wiki mpka sasa. Maisha yamenichapa balaa mfukoni Nina kama 1.5M nikawa nawaza biashara ya viazii kwa maana chips. Naomba wazoefu wa mkoa huu wanaujua vizurii wanielekezee hii biashara INALIPA kwa hapa. 2...
  3. JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa Milioni 1.5, Biashara ya Chips Njombe inalipa?

    Habari za muda wana JF, Katika harakati zangu za maisha nimejikuta tu nadondokea Njombe. Nina wiki mpaka sasa. Maisha yamenichapa balaa. Mfukoni nina kama 1.5M, nikawa nawaza biashara ya viazi, kwa maana ya chips. Naomba wazoefu wa mkoa huu wanaoujua vizuri wanielekezee. Hii biashara inalipa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chips kwa dar es salaam inaweza kunipa utajiri?

    Naomba wakongwe wa biashara ya chips DSM wanisaidie kijana wao, vp nnaweza kuianza kwa mtaji wa sh ngap yaani kwenye kutafuta vitu vifuatavyo, pia wanisaidie ushaur kama biashara hii inafaa au 1.Kununua kabati la alminium kwaajili ya kuwekea chips na mishikaki na kachumbar 2. kutafuta eneo la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…