biashara kariakoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mkiwa bado katika debate ya kwamba hauwezi fanya biashara Kariakoo bila uchawi, wachina wana takeover taratibu. Mbona hamuwarogi sasa!

    Watu weusi🚮 Soma pia Mchina haui biashara, ni nyinyi mnaowatukuza mawinga kuliko wateja, Tunazidi kuwaombea wachina wajae, Maana ya kwenda kariakoo inazidi kuchuja. Wamachinga wa kichina Kariakoo, tatizo ni mikataba ya Serikali ya Tanzania na China, Wale wachina wanalindwa
  2. JamiiForums Tanzania Hii Ndio Mitaa Iliyonipa Pesa Nyingi Kariakoo

    Habari wakuu, Nikiwa mfanyabiashara wa retail, leo nimeona nitoe shukrani za dhati kwa mitaa ya Kariakoo ambayo imekuwa sehemu kubwa ya mafanikio yangu. Nilianza nikiwa nimeajiriwa kwenye kampuni ya construction, kitengo cha manunuzi (Procurement). Kazi yangu ilinifanya nizunguke Kariakoo...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Walia na Wageni Kufanya Biashara Kariakoo, Faini Ndogo

    Wafanyabiashara wa Kariakoo, Dar es Salaam wameiomba serikali kuangalia upya suala la raia wa kigeni kuendelea kufanya biashara ambazo zinapaswa kufanywa na wazawa licha ya hatua kuwahi kuchukuliwa na serikali kuahidi kuongeza usimamizi. Mbali na malalamiko hayo, wafanyabiashara hao pia...
  4. JamiiForums Tanzania Sababu Moja Kuu Inayoufanya Ubaki Mmaskini Hata Kama Una Biashara Nzuri

    Absolutely! Hii hapa ni blogpost ya kisasa yenye nguvu ya kuvutia wajasiriamali wa Tanzania ambao wana biashara nzuri lakini kimya — kwa hiyo hawapigi hatua sokoni. Imejengwa kwa storytelling, psychology ya mauzo, na CTA moja kali ya kuleta action. Sababu Moja Kuu Inayoufanya Ubaki Mmaskini...
  5. JamiiForums Tanzania Ni hakika kabisa unaweza kufanya biashara kariakoo hata kwa mtaji kidogo tu

    Habari wakuu. Unaweza ukawa una wazo(idea)+mtaji(capital) lakini hauelewi uanzie wapi au haujui ni biashara gani ufanye ikupe matokeo mazuri pia (place)location gani nzuri au kuna wengine wanatamani kuja kariakoo na hawajui waanzie wapi maana wanasikia kuwa kariakoo fremu bei juu, wanasikia...
  6. JamiiForums Tanzania Wageni Wavamia Biashara Kariakoo Bila Vibali, Mamlaka Zatazamana

    Katika hali inayoibua maswali mengi kuhusu uzingatiaji wa sheria na maslahi ya taifa, maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Salaam yameendelea kushuhudia wimbi la wageni wanaojihusisha na biashara bila kuwa na vibali halali, huku mamlaka husika zikituhumiwa kufumbia macho au hata kuhusika moja kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Usiogope 400,000 unafanya biashara Kariakoo

    Habari wana JF. Believe me unaweza kuanza kufanya biashara Kariakoo Kwa mtaji wakawaida kabisa sio mpaka uwe na mtaji wa milioni 20, au 50 nooo. Hapa kariakoo zipo fremu za Bei ya kawaida kabisa ambayo mtu yeyote yule mwenye Nia/ndoto ya kufanya biashara anaweza kumudu, mfano zipo fremu za...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Serikali iwaache wachina wafanye biashara Kariakoo: watanzania wameibiwa na kudhulumiwa sana na wale wafanyabiashara wanaojiita wazawa

    Baba wa Taifa alituaambia kaburu siyo rangi, hata km we ni mweusi km tabia zako ni za kikaburu za kibaguzi we ni kaburu tu! Wafanyabiashara wale ni wezi, ni waongo, bei wanazouzia bidhaa ni za dhuluma, kwanini bei yao itofautiane sana na ya wachina. Wachina wale zile bidhaa kule kwao hawapewi...
  9. JamiiForums Tanzania Usiogope kwa 200,000 mpaka 250,000 unapata fremu ya biashara kariakoo.

    Habari wana JF it's another beautiful day. Thread hii inahusu kariakoo, Kuna watu wanahitaji/tamani kufanya biashara Kariakoo lakini wanahofia bei za fremu lakini pia hawajui wanaanzia wapi kupata fremu za kufanyia biashara kama za kuuzia nguo, viatu, urembo, vyombo, huduma za kifedha kama...
  10. JamiiForums Tanzania Masaa 24 biashara Kariakoo, hali ya usalama mitaani wanakotoka wateja inaruhusu?

    Mitaa yetu ina giza nene totoro na vibaka wengi sana, na wakati mwingine hakuna umeme kabisa. Ni jambo jema sana biashara kariakoo masaa 24, itasaidia kuchechemua uchumi wa watu, familia, jiji na taifa kwa ujumla. Usalama Kariakoo umeimarishwa kwa kufunga taa, kamera na kuwa na walinzi wa watu...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa Tsh. 100,000 tu unafanya biashara Kariakoo

    Habari Wana JF. Thread hii inahusu KARIAKOO Naomba nianze Kwa kutoa shukurani zangu za dhati Kwa Wana JF wote mlio niamini na mkafanya kazi na Mimi shukurani Sana. { ingawa wengi mkija kariakoo hamtaki nijue ID zenu mnasema mmeona tangazo langu X zamani Twitter, Instagram, Facebook wengine...
  12. JamiiForums Tanzania Ujumbe maalum kwa wanaotafuta fremu Kariakoo

    Habari Wana JF. Naomba nianze Kwa kutoa shukurani zangu za dhati Kwa Wana JF wote mlio niamini na mkafanya kazi na Mimi shukurani Sana. { ingawa wengi hamtaki nijue ID zenu mnasema mmeona tangazo langu X zamani Twitter, Instagram, Facebook wengine mnasema ndugu zenu wamewatumia namba...
  13. JamiiForums Tanzania 85,000 tu unapata Fremu ya biashara Kariakoo

    Habari wana JF. Thread hii inahusu KARIAKOO. Kwanza kabisa naomba nianze Kwa taarifa kutoka EACLC UBUNGO. "Uongozi wa kituo Cha biashara Cha kimataifa Ubungo umetangaza Kodi ya duka EACLC UBUNGO inaanzia shilingi milioni moja za Kitanzania(1M Tsh)". Hivyo Sasa Ndugu zangu naona Kuna Story...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuna haja ya kujenga Kariakoo nyingine eneo la Mbezi Mwisho

    Niliwahi kushauri na ninaendelea kuishauri Serikali kupitia Mkoa wa Dar es Salaam kuwa, wajenge Kariakoo nyingine eneo la Mbezi mwisho karibu na stendi ya Magufuli au karibu na hapo. Nilisha eleza faida sina haja ya kurudia, huu utakuwa ni mpango wa miaka 100 ijayo. Walio plan Kariakoo iliyopo...
  15. JamiiForums Tanzania Mambo matano aliyosema Rais Samia jana yaliyonisikitisha

    Wakati Rais Samiah akiwaapisha Viongozi Jana , Kuna mambo matano aliyasema kwenye hotuba yake ambayo yalinisikitisha. 1. Jambo la kwanza Rais kadai mikopo inaifanya Tanzania inyayasike Nimehuzunika Rais anapokiri ya kwamba mikopo tunayokopa inatufanya tunyanyasike. Huyu ni udhaifu mkubwa wa...
  16. JamiiForums Tanzania Je, kuna ubaya gani TRA wakifungua biashara Kariakoo kwa muda wa mwaka mmoja ili kujua namna ya kuboresha sera za kikodi?

    Binafsi naamini ni ngumu kwa TRA kuelewa hali halisi inayolalamikiwa bila kufungua duka la majaribio Kariakoo. Walipe Kodi zote stahiki, na wasiuze chochote bila kutoa risiti, watoe risiti na wadai risiti kila wanaponunua. Wasijipe upendeleo wa aina yeyote na wasitoe rushwa, halafu tuone kama...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024

    Hadi Sasa ni saa 2:24 asubuhi maduka mengi hayajafunguliwa. Licha ya Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila, kuwasisitiza Wafanyabiashara wa Kariakoo kuendelea na shughuli zao kama kawaida, hadi Saa 9 Asubuhi Wafanyabiashara wengi wamefunga Biashara zao katika Mitaa ya Kariakoo, leo Juni 24, 2024...
  18. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Wafanyabiashara wa Kariakoo wajitafakari, migomo siyo suluhisho

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila ametoa tamko la kuwataka Wafanyabiashara wote wa Mkoa wa Dar es salaam kujiepusha na migomo na kila mmoja kujitafakari, hii ni baada ya kusambaa kwa taarifa jana kuhusu Wafanyabiashara wa Dar es Salaam na Mikoa mingine kupanga kugoma. Akiongea...
  19. JamiiForums Tanzania MGOMO: Wafanyabiashara Kariakoo kufunga biashara zao kuanzia 24/6/2024 mpaka changamoto zao zitakapotatuliwa'

    Wafanyabiashara wote wa viunga vya Kariakoo mnatakiwa kufunga biashara zenu zote ikiwemo maduka yenu, ofisi zetu na chochote unachokifanya kuanzia Jumatatu ya Juni 24, 2024 bila ukomo hadi pale changamoto zetu zote za kibiashara zitakapoweza kutatuliwa. Mikoa ya Mbeya, Iringa, Mwanza, Arusha...
  20. JamiiForums Tanzania WanaJF tupeane mawazo kwa mtu anayetaka kufanya biashara Kariakoo kwa mtaji wa milioni 50

    Kwema wakuu, Kuna mtu kanifata anahitaji ushauri, anataka kujilipua kwenda kariakoo kufanya biashara.... Kwanini Kariakoo? Anaamini Kariakoo ndo hub ya biashara hapa Tanzania.... Mzunguko wa kariakoo si rahisi kuupata mahali pengine popote hata kama unapata faida ndogo Amekua akifanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…