benki kuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    KERO Kampuni za Mikopo Mtandaoni zinakiuka masharti ikiwemo kuweka Riba 52% BoT, Wizara ya Fedha mpo kimya tu!

    Hizi kampuni za mikopo online zimekuwa na kero kubwa kwa wakopaji, yaani mtu unakopa laki moja (100,000) unalazimishwa kurudisha Sh 152,000 ndani ya siku 5. Ambayo ni riba ya asilimia 52, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ipo wapi? Serikali ipo wapi kwa huu unyanyasahlji unaofanyika kwa Watanzania...
  2. Dhahabu yetu iko chini ya CCM ama Benki kuu?

    Jee maamuzi ya kuhusu dhahabu yetu yapo chini ya maamuzi ya wanasiasa wa CCM au benki kuu? Jee ni waziri wa fedha anayeamua ni kiasi cha akiba ya dhahabu tunachotakiwa kuwa nacho ama Gavana wa Benki kuu? Jee waziri wa fedha akisema dhahabu iuzwe Gavana wa Benki Kuu anaweza kuzuia ama Gavana wa...
  3. K

    Benki Kuu inafisha ukweli? ‘Kusawazisha mizani’ ndiyo nini?

    Bank kuu sio kijiweni kuna utaalamu wa kufanya mambo. Hakuna kitu kama kusawazisha mizani yaani bank kuu inanunua gold sasa kusawazisha mizani maana yake ni nini? wanajua kabisa wanaeleza vitu ambavyo havipo kwa lengo ya kuuza gold bila watanzania kujua idadi maalumu na bila kukubali wanauza...
  4. P

    DHULMA TUNAZOTENDEWA NA BENKI YA CRDB ILHALI BENKI KUU YA TANZANIA , INAONYESHA KUWA UPANDE WAO KWA KUSHINDWA KUJIBU "REVISION" KWA MUJIBU WA SHERIA.

    TATIZO KUBWA – WITO WA HAKI NA UWAZI KIFEDHA TANZANIA Kampuni ya Peachy Village Company Limited, yenye makao yake makuu Dodoma, Tanzania, imejikuta katika hali mbaya kifedha baada ya kufunguliwa kwa akaunti za benki zisizo halali kwa jina lake. Tukio hili limeleta hasara kubwa, likiathiri...
  5. Benki Kuu ya Ulaya yakataa kuidhinisha fedha za Russia zilizokuwa frozen kwa ajili ya kusaidia Ukraine

    Benki Kuu ya Ulaya ilikataa kuunga mkono malipo ya €140 bilioni kwa Ukraine kutoka kwa mali za Urusi zilizotaifishwa, inaripoti Financial Times ikinukuu vyanzo. Makala inasema kwamba ECB ilihitimisha kwamba pendekezo la EU linakiuka mamlaka yake.
  6. JWTZ, Msiache kuitazama Wizara ya Fedha na Benki Kuu. Watakuwa wanachota hela in a panic Mode

    Kati ya Maeneo ya kutizama sasa ni Benki Kuu, Benki za Biashara na Wizara ya Fedha. Naomba Jeshi letu mzuie utoroshwaji na uchotwaji wa fedha zozote zile kwenye hizo Taasisi Msisahau kuwakamata na kuwaweka kizuizini Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Mkurugenzi wake na Makamishna wote.
  7. M

    KERO Waziri mwenye dhamana aingilie kati. CRDB imeshindwa kuhudumia Watanzania

    Unatoa pesa kupitia simu banking unaenda kwenye ATM unapata ujumbe kuwa umetoa pesa. Lakini noti hazitoki. Alafu zinakaa siku zaidi ya nne hazirudi kwenye akaunti yako. Utakula nini? Kama ndio pesa uliyobakiza kwa ajili ya matumizi ? Hii bank haifai na imeshindwa kuhudumia watu.
  8. Hata kama Magufuli hakuuawa, bado yapo matatizo ya watu kuipora Benki Kuu

    Watu kwenda Benki Kuu kuchota hela kama Iddi Amin, hii haikubaliki. Ndio maana Kanisa Katoliki limeuliza kama hao viongozi wa Serikali wana haki ya kuingia Kanisani na kuongea. Hakuna uwiano katika ya sifa wanazorundikiwa watu na mambo ya aibu wanayofanya. Sasa watu wengi wanasemwa vibaya...
  9. RAISI Trump alikosolewa na federal reserve hadharani(mkuu wa benki kuu ya USA)

    Kama maelezo yanavyojieleza na ushahidi wa video... Rais Trump alitoa takwimu sio sahihi na akakosolewa mbele ya waandishi wa habari kua data alizotoa sio sahihi KUNA UKWELI USIOPINGIKA TENA WA WAZI KUWA HAWA WATU NDIO WANAISHI DUNIANI
  10. Wizi wa Karne! Benki Kuu Yaibwa Bila CCTV Kuona – Hela Zaidi ya Bilioni 180 Tsh Zimepulizwa

    Tarehe 8 Agosti 2005, Jumatatu pale Ceará, Brazil – mambo yalilipuka! Wakati walinzi wa benki walikuwa kwenye ukaguzi wao wa kawaida ndani ya chumba cha hazina, wakakutana na kitu cha ajabu sana. Mbele yao, shimo kubwa limetobolewa sakafuni, na kumbe si mchezo – zaidi ya tani 3.5 za hela...
  11. Z

    Pongezi kwa Benki Kuu (BoT) kwa kupunguza riba za mikopo kwa watu binafsi na watumishi wa umma.

    Kwa mara ya kwanza Gavana wa BOT aamuru Mabenki yanayo toa mikopo kwa wananchi na haswa watumishi wa umma kushusha riba hadi kufikia asilimia kumi 4. Hakiki kupunguzwa kwa riba kutarahisosha ukali wa maisha kwa wananchi wengi. Benki ya NMB ambayo ndio inaongoza kutoa mikopo yenye riba kali kwa...
  12. Z

    Benki kuu nao waje na app yao ya bonds kiganjani au waiwezeshe app ya DSE hisa kiganjani, ili watu waweze kununua na kuuza bonds za BoT

    Kitu kizuri ambacho kimesaidia kidogo self employment na kupunguza makali ya ukosefu wa ajira, ni the introduction of app ya DSE hisa kiganjani, hii imerahisisha kununua na kuuza hisa za DSE listed companies. Benki kuu nao waje na app yao ya bonds kiganjani au waiwezeshe app ya DSE hisa...
  13. Benki Kuu ya Tanzania kuuziwa 20% dhahabu inayozalishwa na Shanta, Geita Gold Mine, Buckreef Gold

    Kampuni za madini za Geita Gold Mine (GGM), Shanta na Buckreef Gold zimeingia mkataba na Benki Kuu (BoT) ya utekelezaji wa sheria ya madini inayozitaka kampuni binafsi za uchimbaji madini kuiuzia BoT dhahabu inayozalishwa na kampuni hizo kwa kiwango kisichopungua asilimia 20. Mikataba hiyo...
  14. Benki kuu ya Tanzania yapiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni kufanya miamala ya ndani

    Benki kuu ya Tanzania ilisema katika taarifa yake Ijumaa jioni kwamba imepiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni kwa miamala na malipo ya ndani. Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imesema kwa mujibu wa kanuni zilizotolewa na Serikali mwaka 2025, bei na malipo ya bidhaa na huduma zote nchini lazima...
  15. Benki Kuu (BoT) yaendelea kusisitiza kuwa malipo ya huduma zote ndani ya nchi yanapaswa kufanyika kwa Shilingi ya Tanzania

    KATAZO LA MATUMIZI YA FEDHA ZA KIGENI KATIKA KUFANYA MIAMALA YA NCHINI/MALIPO NDANI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuutaarifu umma kwamba, kulingana na matakwa ya Kifungu cha 26 cha Sheria ya Benki Kuu ya mwaka 2006, Serikali imetoa Kanuni za Matumizi ya Fedha...
  16. Benki Kuu ya China yaagiza benki zinazomilikiwa na serikali kupunguza ununuzi wa dola za Kimarekani

    Ni muendelezo wa ngumi za hapa na pale kati ya Marekani na China zinazo shika kasi kwa sasa hasa upande wa vita vya nyongeza za ushuru. JUST IN: 🇨🇳 🇺🇸 China Central Bank asks state-owned banks to reduce US dollar purchases...
  17. Benki Kuu ya Tanzania (BoT): Uchumi wa Tanzania unatarajiwa kuendelea kukua kwa kasi ya 6.1% na 6.5% mtawalia

    BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza kuwa uchumi wa Tanzania Bara na Zanzibar unatarajiwa kuendelea kukua kwa kasi ya kuridhisha katika robo ya pili ya mwaka 2025, kwa asilimia 6.1 na 6.5 mtawalia, huku mfumuko wa bei ukitarajiwa kubaki tulivu kwa asilimia 3.2. Akizungumza jijini Dar es...
  18. Historia ya kuanzishwa kwa Benki Kuu ya Tanzania

    Niliwahi kusoma makala moja iliandikwa na marehemu Ali Nabwa,kwenye gazeti la dira,yenye kichwa cha habari,Zanzibar yafa dungu msokoni. Makala hiyo ilielezea ugomvi mkubwa sana kati ya karume na nyerere,kuhusu benki kuu ya tanzania.Nyerere akamtuma Amir Jamal keenda kuongea na Karume,Karume...
  19. Gavana wa Benki Kuu: Shughuli zote za Upatu ni haramu, tunawaonya wanaowaibia Wananchi

    Serikali imetoa onyo kuhusu shughuli za upatu, ambapo Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Emmanuel Tutuba, amesema kwamba mtu yeyote anayeshiriki katika upatu kwa kukusanya fedha ili kuzigawa kwa wachache, huku akidai kuwa lengo ni kuvutia watu kuleta fedha zao bila kuwa na biashara halali ya...
  20. Benki Kuu (BoT): Hatujatoa leseni wala kuruhusu shughuli za LBL

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inapenda kuutaarifu Umma kuwa haijafanya mazungumzo wala kutoa maelekezo yoyote ya kupewa leseni au kuruhusiwa kwa kampuni inayoitwa Leo Beneath London (LBL), tofauti na taarifa mbalimbali zinazozambaa mitandaoni. Soma Pia: Jeshi la Polisi Morogoro lawakamata maofisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…