beki

Beki is a title of nobility used by the Mongols and other steppe societies in the Central Asia in the medieval period. The exact meaning of the title is disputed, although possibly meant "honored shaman", and while frequently used for noble women, some men also used the title.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania William Saliba ni moja kati ya mabeki wa kati bora zaidi duniani

    Mwaka 2019, aliponunuliwa na Arsenal kwa paundi milioni 27 akiwa na miaka 18 niliona kama ni hasara. Alikaa kwa mkopo Saint Etienne, Nice na Marseille. Kazi anayoifanya sasa hivi baada ya kurudi kutoka kwenye mkopo ameonesha waliomsajili waliona mbali. Kila la heri kwake katika miaka ijayo.
  2. JamiiForums Tanzania Mwanamke asema beki wa Man City alimfungia chumbani kisha akambaka

    Beki wa Manchester City, Benjamin Mendy (28) imeelezwa kuwa alitumia mashine ya alama za vidole kumfungia mwanamke chumbani kabla ya kumbaka. Hayo yameelezwa Mahakamani ambapo Mendy anatuhumiwa kwa makosa 10 dhidi ya Wanawake 7 (mdogo zaidi akiwa na umri wa miaka 17) anayodaiwa kuyatenda kati...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, unadhani 'perfomance' ya Kinidhamu aliyoionyesha leo Beki Henock Inonga inatokana na lipi kati ya haya yafuatayo?

    1. Mshambuliaji Hatari wa Yanga SC Fiston MINOCYCLINE Mayele amemuadabisha baada ya Kuifunga Simba SC goli zake Mbili na akipitia Kwake Beki Inonga? 2. Wana Simba SC tuliomchana live hasa katika Ukurasa wake wa Instagram na Twitter kutokana na Kucheza Kwake na Jukwaa, kupenda Sifa na Kujiamini...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nimewatizama Kiumakini leo Kipa Manula na Beki Kapombe na kugundua kuwa Mechi ya Derby hawakuwa Wagonjwa bali ni miongoni mwa Wasaliti 9 Simba SC

    Mnaojiuliza na Kuumizwa kama Mimi ni kwanini Simba SC ni sawa na Mke Mkongwe wa Mume Shababi Yanga SC ( nikimaanisha anafungwa muda wowote ule ) majibu ni haya yafuatayo..... 1. Mjumbe Mulamu Ng'ambi 2. Mratibu Abbas Suleiman 3. Kocha Msaidizi Selemani Matola 4. Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC...
  5. JamiiForums Tanzania Siziamini Beki za Kati za Yanga kimataifa

    Ni maoni yangu tuu Wadau. Pamoja na usajili mzuri tuliofanya, naona tumesahau kupata beki Bora kabisa wa Kati mbadala wa waliopo. Tutapata taabu saana katika hili. Nawasilisha.
  6. JamiiForums Tanzania Acheni Kutudanganya ukweli ni kwamba Beki Inonga kasema mkimuacha Mkongo Mwenzake huyo nae anasepa zake upande wa Pili

    SIMBA SC KUMBAKIZA MUGALU Habari kutoka ndani ya Simba zinasema Majeraha aliyoyapata msimu huu Chris Mugaluni moja ya sababu inayopelekea uongozi wa klabu hiyo kutomuacha. Msimu huu hakuonyesha makali tofauti msimu uliopita Mugalu alimaliza na mabao 15 katika mechi 19 Chanzo: SportsArenaTz...
  7. JamiiForums Tanzania Kama man of the match ni beki basi simba ilizidiwa

    Kama enonga ndo anaimbwa leo basi watani mlizidiwa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nimefurahi mno Beki Henock Inonga Baka Kukosa Penati leo dhidi ya Orlando Pirates FC nikiamini kuwa kuanzia sasa atabadilika?

    1. Ana dharau sana Wachezaji wenzake 2. Anajiona ni bora kuliko Wote Kikosini 3. Anapenda Sifa na attention za Kijinga Uwanjani 4. Ana Utoto mwingi 5. Ana deka hadi anaboa na kuharibu 6. Anajiamini sana mpaka kujisahau 7. Ana Ushamba ambao haujifichi Nina uhakika kwa Ball Control yake...
  9. JamiiForums Tanzania Kichekesho cha beki ghali duniani Maguirre

    Unaambiwa huyu jamaa kila mara anakuwa upande wa timu pinzani. CR7 anataka top four,maguirre hataki. De Gea anamuogopa huyu beki zaidi ya washambuliaji wa timu pinzani. Katika hii picha hapa chini ameamua kuapply kile anachokifanya kwenye mazoezi. Pogba alikula kiatu cha uso.
  10. JamiiForums Tanzania Hivi kwa hapa Bongo kuna msanii anamfikia DJ Nalimison kwa kumiliki mtoto mkali?

    Huyu jamaa kwa wasanii hapa Bongo bado sijaona msanii anamiliki chombo ya ukweli kama DJ Nalimison. Huyu hapa shemeji yetu siku alipoenda ukweni kuwatembelea nymbani kwao na kina DJ Nalimison maeneo ya Shinyanga nakuamua kufanya mazoezi maeneo ya Ngokoro matope na maeneo ya jirani na hapo kwao...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Baaada ya beki Banda wa Mtibwa Sugar FC kuhongwa ili ajivunje, sasa ni zamu za akina Yondan na Nyosso wa Geita Gold FC nao kuhongwa wajivunje

    Ukiujua Mpira wa Bongo (Tanzania) na Janja Janja yake ni raha sana. Pongezi sana Kocha wa Mtibwa Sugar FC Salum Mayanga kwa Kuwaanzisha Wachezaji wabovu ila baada ya Yanga SC kufunga Goli la Pili ndipo ukawaingiza Wachezaji wazuri akina Kibaya. Hongera sana Kipa Shabaan Kado (mwana Yanga SC...
  12. JamiiForums Tanzania TANZIA Beki Ally Mtoni Sonso afariki dunia, amewahi kuichezea Taifa Stars na klabu za Yanga, Kagera Sugar, Lipuli

    Beki wa KMC, Ally Sonso amefariki dunia leo katika Hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na jeraha la mguu. Marehemu enzi za uhai wake aliwahi kuchezea timu za Yanga, Lipuli, Kagera Sugar na Ruvu Shooting.
  13. JamiiForums Tanzania Hakuna beki mzuri kumzidi Pascal wawa NBC pl. - Try again

    Hatuwezi kumuacha kiholela bado tunamhitaji kwenye timu. hakuna beki bora kama Wawa Kwenye ligi yetu. - Try again (Mwenyekiti wa simba)
  14. JamiiForums Tanzania Kumbe Miquissone anacheza kama beki Al Ahly

    Maisha yapo kasi sana, hana Al Ahly alikuwa na mechi na akashinda 4 mchezaji Luis Miquissone akachezeshwa kama beki. Sijapenda hata kidogo, waarabu wabaguzi sana
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC wenzangu tafadhali tumkope Akili Beki Dickson Job na tumpe Mshambuliaji wetu John Boko ili zimsaidie Kiufanisi Uwanjani

    Kama leo ningepewa Furushi la Fimbo za Mianzi au Mipera na kuambiwa nimchague mchezaji wa Taifa Stars aliyenikera ilipocheza na Madagascar na nimchape nazo nina uhakika Mshambuliaji wangu wa Simba SC angezikoga kama siyo Kuzichezea sana. Haiwezekani Beki wa Yanga SC ninayemuhusudu (...
  16. JamiiForums Tanzania Tupia jina la beki wa kati aliyestaafu ambaye ulikuwa unamkubali sana

    Mimi naanza na Nemanja Vidic kwa nje na kwa hapa nyumbani namkubali sana Salum Swedi Kusi. Endelea na wewe...
  17. JamiiForums Tanzania Beki wa Manchester City anaendelea kusota jela

    kama kawaida ya watu weusi kujisahau akipata pesa ,,basi na mwenzetu ndugu Mendy wa Man city yamemkuta makuu baada ya kurekodi video akifanya ngono na kuisambaza. sasa yuko jela kwa kosa la kumzaririsha mwanadada huyo alie kua akifanya nae ngono na hana dalili ya kitoka Man city i asemekana...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwako Beki Dickson Job japo Mimi ni mwana Simba SC, ila kuendelea Kucheza Kwako NBC Tanzania Premier League ni sawa na Kututukana Watanzania

    Tanzania miaka hii ya karibuni tumemtoa Mshambuliaji Hatari kabisa Mbwana Ali Samatta na kiukweli ametutangaza Watanzania ma Kaitangaza vyema Tanzania yetu. Na leo Mightier natabiri hapa hapa kuwa kwa huu Uchezaji mzuri na wa Kiwango cha Juu na cha Kimataifa anachokicheza sasa akiwa Yanga SC na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hivi unamtoaje Israeli Patrick Mwenda na kumuingiza Beki mbovu Kibwana Shomary? Kwa hasira nashangilia Benin kwa sasa

    Hili Kocha Paulsen sijui lina nini Kichwani. Halafu amemtoa tena Mshambuliaji mahiri Tanzania nzima John Boko na Kumuingiza Mshamba Lusajo. Kudadeki bora tufungwe tu Benin na kuanzia sasa nashangilia Benin. Mtu kama Feisal Salum ( Fei Toto ) anaharibu na Kurukaruka tu lakini hatolewi...
  20. JamiiForums Tanzania Vita ya beki tatu na mama mwenye nyumba inavyogeuka fursa mtandaoni

    Biashara nyingi zimehamia mitandaoni siku hizi, sasa majuzi nilikumbana na tangazo moja la kampuni ya ma-house girl huko mtandaoni ndiyo nikagundua kumbe ile vita tuliyoianzisha ya madada wa kazi dhidi ya wake zetu bado haijakwisha, mbichi kabisa. Kila nikitazama sioni dalili ya vita hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…