Shalom shalom
Kama ukapata fursa ya kwenda kufanya kazi ulaya, uarabuni au Amerika nenda haraka sana hata kama ni kazi ya beki 3 au kubeba box, mlinzi au store keeper, kusafisha vibibi nk, acha kazi yako ya halmshaur nenda.
Beki 3 Saudi Arabia, Jordan, Oman, Dubai, Qatar UAE anamafanikio na...