bei ya jumla

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nahitaji LED TV inch 32 kwa bei ya jumla

    wakuu nahitaji piece 5 ya led tv ziwe star x OG, RISING, SOLAR MAX BEI IWE 290,000 - 300,000 KAMA UNAZO NICHECK 0629 945 110
  2. Wapi nitanunua vocha za jumla na mimi niuze jumla kwa Dar es Salaam?

    Habari wa JF Nataka kufanya biashara ya kuuza vocha za jumla lakini sijajua nanunua wapi hizo vocha,ukiwauliza wauzaji wa jumla kila mmoja anapiga chenga wengine wanasema hazina faida..mimi naomba kupata taarifa sahihi either kwa anaefanya hii biashara au anaejua taarifa sahihi! Nawasilisha!
  3. Wapi naweza kupata Pipi na Big-G kwa bei ya jumla

    Habarini wanajukwaa. Nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza pipi na Big-G, je wapi naweza kupata pipi kwa bei ya jumla? Nimetembelea Kariakoo na Manzese ila nimeona bei ni zile za wanaouziwa wafanyabiashara wengine na sio super supplier.
  4. Chimbo la bidhaa za Mobile Accessories kwa bei ya jumla

    Business as Usual! Msaada wa haraka unahitajika kupata connection kwa hapa bongo Dar wanapouza bidhaa za jumla za simu kama *Screen Protectors *Cover za simu *Power Banks *USB Cables / Charges *Chaja za simu *Memory Cards Aluta kontinua!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…