Jana Agosti 29, 2025, Humphrey Polepole kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii alidai kwamba mtungi wa gesi ya kilo 15 nchini Cuba unauzwa kwa shilingi 2,000 za Kitanzania.
Kauli hii imeibua mjadala, lakini inapochunguzwa kwa makini kwa kutumia takwimu na taarifa rasmi, inabainika kwamba...