Ukimsikiliza kwa makini Heche anaeleweka sana. Amejenga ushawishi mkubwa sana hapa Tanzania. Ni hakika Heche ni tatizo la CCM. Ni Hakika Heche ni Tunu ya Taifa.
Vigogo wa Chadema mliojipanga kufanya fujo acheni huo mchezo. Kwa Heche mtaumbuka. Umma uko na yeye na Mnyika. Lissu anamkubali.
Leo Kwenye mkutano mkuu wa Bavicha Taifa mjini Dodoma Lema alipewa fursa ya kuongea. Hata hivyo kuna vitu viwili sikuviona.
1. Aliongea na kwa muda mfupi sana na hakukuwa na presha ya kuharakishwa kumaliza.
2. Hakuongea kwa moyo kama desturi yake. Aliongea kama mtu ameandi
Jeshi la Polisi mkoani Manyara limezuia mabasi (Coaster) yaliyokua yamebeba vijana wa Chadema (BAVICHA) kutoka wilaya ya Karatu, wanaoelekea mkoani Dodoma kwenye maadhimisho ya siku ya vijana duniani yanayofanyika kesho August 12.
Soma Pia: Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida, amewakosoa vikali baadhi ya vijana hasa wale wa CHADEMA kwa kile alichokiita kejeli na kubeza hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Ghasia na Ukiukaji wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona tangazo la Mwenyekiti Wa BAVICHA Taifa Deogratias Mahinyila Akisema watakuwa na mkusanyiko wa vijana utakaofanyika pale Dodoma wakitaka ama wakiwa na ajenda za kutaka Katiba mpya na kuzungumza mambo mengine ya kisiasa .
Sasa kwa jicho la kijasusi na jicho la...
Guys.
Ssi wataalamu wa intelijensia tushajua tayari hilo ni gharasa limetumwa kushambulia.
1 Eyes contacts pamoja na kuongea peke yake mda mwingi alikuwa hajiamini kuiangalia kamera.
2. Kijana ameongea amejawa na wasowasi mwingi kwa ongea yake ya harakaharaka isiyokuwa na...
JESHI la Polisi Mkoa wa Iringa limetoa ufafanuzi kufuatia kusambaa kwa taarifa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa watuhumiwa wanne, akiwemo Mwenyekiti wa Baraza la Vijana (BAVICHA) Mkoa wa Iringa, Ibrahimu Myovella (33), wamepotea wakiwa mikononi mwa polisi.
Akizungumza na vyombo vya...
Kesi ya jinai inayomkabili Katibu Mkuu Mstaafu wa BAVICHA Taifa, Yohana Kaunya Rugembe, pamoja na washtakiwa wengine 20, imeendelea leo Ijumaa, Februari 6, 2026, katika Mahakama kwa hatua ya kusomwa kwa hoja za awali.
Mashitaka 2 yameongezwa na kufanya jumla ya makosa kuwa 11.Upande wa Jamhuri...
Na Wakili Charles N. Heche
Mwaka 2023, aliyekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu, alitua katika Uwanja wa OR Tambo kuhudhuria semina akiwa na timu ya rafiki zake. Ni katika kipindi hicho Operesheni ya CHADEMA ilisimama kwa sababu chama kilikosa fedha za usafiri na posho kwa wajumbe. Swali...
Baraza la Vijana wa CHADEMA Taifa kupitia kwa Katibu Muenezi wa BAVICHA Taifa, Felius Festo kinimi watoa tamko juu ya yaliyotokea yaliyotokea Oktoba 29, 2025, "wameharibu msingi wasitafute wa kumuangushia Jumba bovu"
John Pambalu ameandika:
Wamemuua Mwenyekiti wetu wa Bavicha jimbo la Nyamagana Mwanza Kamanda Michael Christian Mutabuzi.
Naambiwa alikamatwa na vijana waliompeleka jengo la CCM lililo karibu na Cetral Police mnamo tarehe 29.10.2025, siku moja baadaye tarehe 30.10.2025 mwili wake uliokotwa...
Tamko rasmi la Baraza la Vijana Chadema Taifa (BAVICHA) kuunga mkono maandamano ya vijana wa Gen Z, kesho Oktoba 29,2025.
==
Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) limeundwa kwa mujibu wa ibara ya 7.8.2 (a) ya katiba ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya mwaka 2006 toleo la 2019...
Kijana kakikacha chama chake bila shaka kafuata maokoto ya CCM
=================
Aliyekuwa Katibu wa Baraza la Vijana Wa CHADEMA (BAVICHA
Alon Kalomba amemuhakikishia Mgombea Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Tarehe 29, Oktoba hakutakuwa na Maandamano.
Alon ametoa kauli hiyo kwenye mkutano...
Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) limelipinga vikali kauli zilizotolewa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa, Mohamed Ally Kawaida, dhidi ya Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa, likisema kauli hizo zimejaa dharau, upotoshaji na kukosa...
Kutoka kwenye viunga vya lango la kuingilia Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam mvutano umeibuka baina ya maafisa wa Jeshi la Polisi na makada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao leo, Jumatatu Septemba 15.2025 wamejitokeza kwa wingi Mahakamani hapo kuja...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linawashikiliwa watuhumiwa 18, akiwamo Katibu Mwenezi wa Baraza la Vijana Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Felius Kinimi, wakituhumiwa kufanya mikusanyiko iliyo kinyume cha sheria.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa...
TAARIFA KWA UMMA
Msafara wa viongozi wa BAVICHA Taifa na Kanda ya Kaskazini, ukiwa njiani kuelekea nyumbani kwa familia ya akina SOKA kama sehemu ya kuenzi mashujaa wetu, umekumbwa na vizuizi visivyo halali. Magari ya polisi yamezuia msafara huo takribani mita 100 kutoka barabara ya Kibosho...
Jeshi la Polisi mkoani Arusha limesema Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Gasper Temba, hajatekwa isipokuwa amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kughushi nyaraka.
Aidha, Jeshi hilo limetoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao ya kijamii kuacha kusambaza...
Ndugu Temba Gaspar Erasmus mwenyekiti Wa BAVICHA Kanda ya Kaskazini Adaiwa Kutekwa na Watu wasiojulikana akiwa anatoka kwenye moja ya Benki jijini Arusha.
Taarifa zaidi kukujia