barter trade

  1. waleti

    UZI maalumu wa kubadilishana BIDHAA na BIDHAA (bila pesa) - Barter trade

    Umewahi kuwa unahitaji bidhaa/huduma fulani lkn huna pesa; hapohapo nawe una bidhaa/huduma zako unazoweza uza lkn watu hawana pesa ya kununu? - enzi za mababu zetu kulikuwa na biashara ya kubadilishana bidhaa kwa bidhaa (au huduma) - ktk hali nyingine ya maisha na uchumi tunaweza angalia...
Top