bariadi

Bariadi is a town in Tanzania, East Africa. It is the capital of Simiyu Region, and the administrative seat of Bariadi District. Bariadi also refers to Bariadi Ward, an administrative unit in the district.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Bariadi: Mama aliyetarajia pacha akabidhiwa mtoto mmoja

    Hali ya sintofahamu imeikumba familia ya Mayenga Nigonzala, mkazi wa kijiji cha Kidinda Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu baada ya mkewe, Zawadi Sayi kuelezwa kujifungua mtoto mmoja, licha ya vipimo na maelezo ya awali ya madaktari kuonyesha alikuwa na ujauzito wa pacha. Sintofahamu hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Mfahamu Lupakisyo Kapange aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bariadi

    Taarifa zinasema kwamba kabla ya Uteuzi huu alikuwa Katibu mwenezi wa ccm Wilaya ya Tanga Bado haijajulikana kama ana uzoefu mwingine wowote wala kiwango chake cha elimu
  3. JamiiForums Tanzania Kwa wanaoishi au wenye uzoefu wa kibiashara pale Bariadi

    Moja kwa moja, naombeni mnisaidie ninataka kuhama hapa nilipo kwenda Bariadi na nataka nikifika kule nifanye biashara ya juice, bisi na matunda kwa delivery. Je, aina hii ya biashara ninayofikiria kwa maeneo yale nimewaza sawasawa? Kama sio nipe mbadala, mtaji wangu ni 1M?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…