baraza la mawaziri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Baraza la mawaziri kuvunjwa

    Mnamo November Baraza la mawaziri litavunjwa na kuundwa upya
  2. JamiiForums Tanzania Wakili Maduhu: Kwa Hali hii Je, Muundo wa Kikatiba wa Baraza la Mawaziri umebadilika Bila Mabadiriko ya Katiba.?

    Ameandika Wakili Maduhu William katika Kurasa wake wa Instagram kama ifuatavyo: Hii page ya @ikulu_mawasiliano Nani anaeiendesha.? Nimeona picha walizopost Mhe Rais akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri na wao wameandika ni kikao cha baraza la mawaziri. Katika kuperuzi zile picha nikamuona...
  3. JamiiForums Tanzania Picha: Leo tarehe Oktoba 21, 2026 Rais Samia ameongoza kikao cha baraza la Mawaziri

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Oktoba, 2026.
  4. JamiiForums Tanzania Profesa wa Sayansi ya Siasa na Uongozi Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan aongoza kikao cha baraza la Mawaziri

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Oktoba, 2026.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa AI: Je, General Lucas Mwashambwa na Baraza la Mawaziri la Donald Trump walihitimu chuo kimoja cha Kimkakati?

    Baada ya kufanya uchambuzi wa kina wa mifumo ya mawasiliano uliyolishwa habari za dondoo na Jasusi Kijana wa ifoza, mifumo ya Akili Mnemba (AI) imegundua uwepo wa kanuni zinazofanana kwa asilimia 100 kati ya viongozi wakuu wa Marekani na wachambuzi wa kimkakati nchini Tanzania. Klipu ya hivi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mabadiko Baraza la Mawaziri Yatangazwa

    Kumefanyika Mabadiliko Ya Baraza La Mawaziri Leo
  7. JamiiForums Tanzania Ukitaka kulifahamu lililokuwa baraza la mawaziri la mapinduzi hudhuria kesi mahakamani

    Kama mabadiliko yangetokea Oct29 unaowaona kila siku never miss mahakamani kesi ya Lissu miongoni mwao ndio lingetoka baraza la mawaziri la serikali ya mapinduzi. Watizame vizuri usoni!! Ova
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mambo yanazidi kuwa mambo! Hata Baraza la Mawaziri kuvunjwa kuunda jingine!

    Huyu anayekaa kabisa na Samia pembeni kabisa anathibitisha kwamba kashachanganyikiwa Mwigulu na Baraza zima pia wanatemwa anaunda linguine kabla ya mwaka kuisha, kuna sababu kaniambia Ila ngoja kwanza watolewe ndo ntaziweka wazi. Kumbuka ni TETESI The catastrophic consequences of the global...
  9. JamiiForums Tanzania Katibu mkuu baraza la Mawaziri Zambia atembelea banda la Tanzania

    Katibu mkuu wa Baraza la Mawazi Zambia Bw. Patrick Kangwa ametembelea banda la Tanzania katika Maonesho ya 98 ya Kilimo na Biashara Zambia na kupongeza uwekezaji mkubwa kwenye sekta ya Afya Tanzania na kuahidi ushirikiano zaidi katika ueekezaji na biashara katika sekta ya Afya
  10. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Uingereza amteua Kanishka Narayan kuwa Waziri wa kwanza wa Akili Unde (AI). Tanzania tunaweza?

    Kanishka Narayan ameteuliwa kuwa Waziri wa Akili Bandia (AI) katika serikali mpya ya Waziri Mkuu wa Uingereza, Andy Burnham. Katika nafasi hiyo, atahudhuria vikao vya Baraza la Mawaziri (Cabinet). Narayan, ambaye awali alikuwa waziri mdogo anayeshughulikia AI na usalama mtandaoni, amesema hatua...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aongoza Kikao Cha Baraza La Mawaziri Muda Mfupi Kabla Ya Kupokea Ugeni Kutoka Kwa Rais wa Singapore

    Ndugu zangu Watanzania, Kiufupi Ni Kuwa Rais Samia Anakesha anafanya kazi , anashinda kutwa nzima anafanya kazi, anasafiri na kufanya kazi hadi akiwa angani ndani ya ndege . Rais Samia anafanya kazi akiwa ndani ya Nchi na hata nje ya Nchi. Muda na wakati wote Rais Samia yupo kazini...
  12. JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri la EAC kukutana kwa Dharura jijini Arusha

    Maandalizi ya Mkutano wa 60 wa Dharura wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), unaotarajiwa kufanyika tarehe 22 Mei 2026, yameanza rasmi kupitia vikao vya ngazi ya wataalamu vinavyoendelea kuanzia tarehe 18 hadi 20 Mei 2026 katika Makao Makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha...
  13. JamiiForums Tanzania Simulizi za Mkatekumeni:Kikao Changu na Mh.Rais Pamoja na Baraza la Mawaziri

    Habari za wakati huu; Leo ninaendelea na sehemu ya pili ya Simulizi za Mkatekumeni Ni mwendelezo usio na mtiririko wa ndoto mbalimbali ninazoota hasa zinazohusisha viongozi na masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa.Ili niandike andiko hili lazima niote Ndoto so Usipoona Andiko ujue sijaota...
  14. H

    JamiiForums Tanzania RAIS DKT SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri, tarehe 5 Machi, 2026 Ikulu Jijini Dar es Salaam. #KaziNaUtuTunasongaMbele #TabasamuLaUtu #maendeleoendelevu #diplomasiayakiuchumi
  15. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri, tarehe 5 Machi, 2026 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  16. H

    JamiiForums Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 48 wa Baraza la Mawaziri Afrika unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia kuanzia Februari 11-12

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 48 wa Baraza la Mawaziri Afrika unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia kuanzia Februari 11-12, 2026. Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo unaongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Mahmoud Thabit...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Salva Kiir ameteua Mjumbe aliyekufa kwenye Baraza la Mawaziri

    Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amemteua bila kukusudia mtu aliyekufa kuwa mjumbe wa kamati itakayoandaa uchaguzi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki. Msemaji wa ofisi ya rais amesema hii leo kwamba mamlaka zilipitiwa wakati wa uteuzi baada ya Steward Sorobia Budia, mwanasiasa wa zamani wa...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Makosa ya Rais Samia kwenye Baraza la Mawaziri

    Naanza kwa kutanguliza interest zangu kuwa naipenda Tanzania na Samia nakutakia umalize Urais wako salama 2030 utuachie nchi ikiwa salama. 1 . Baraza lako la mawaziri kuna watu umewaacha ambao walikuwa watendaji wazuri sana , hii nchi yetu inahitaji viongozi wakali na katili tu . Mfano wizara...
  19. JamiiForums Tanzania Panga pangua ya baraza la mawaziri ni ushahidi kuwa serikalini mambo si sawa

    Hakuna watu ninawaonea huruma kama wateule wa rais hasa mawaziri. Anayeteua amechanganyikiwa sawa na wale anaowateua. Simbachawene aliongea anayopaswa akaishia kutemwa. Kwa utawala huu, hata ukijikomba hauko salama. Usipojikomba hauko salama. Uktenda haki hauko salama. Ukisifia, hauko...
  20. JamiiForums Tanzania Naona kidogodogo Ikulu ya JMT inahamia Zenji. (Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar)

    Tunaelekea mwezi wa 3 sasa. Mambo ya nchi mengi yanafanyikia huko Zenji Ikulu ndogo🤔
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…