Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetaka kufanyika uchunguzi wa mauaji ya Oktoba 29 kupitia Taasisi huru, uchunguzi ambao utashirikisha wadau wa ndani na nje ya nchi na kuongozwa na vyombo visivyoegemea upande wowote ikiwemo taasisi za dini na taasisi huru za kimataifa ili ukweli...
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania lililoketi kwa siku 4 kutafakari kilichotokea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 limeonesha kusikitishwa na kulaani mauaji ya kinyama ya watanzania, na kubainisha kuwa ni uovu mkubwa na chukizo kwa Mungu.
Maaskofu hao wamebainisha kuwa hili ni jambo...
Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Kenya (KCCB) limeitaka serikali kufanya mapitio ya haraka ya marekebisho mapya ya Sheria ya Matumizi Mabaya ya Kompyuta na Uhalifu wa Mtandaoni pamoja na Sheria ya Ardhi, likitahadharisha kwamba sheria hizo zimepitishwa kwa haraka bila mashauriano ya kutosha na...
SALA YA KUOMBEA HAKI NA AMANI
Ee Mungu tunakusifu, tunakuheshimu, tunakutukuza, tunakuabudu na kukushukuru sisi Watanzania kwa kutujalia Nchi nzuri. Tunakushukuru pia kwa zawadi ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei 2025.
Tukiwa Mahujaji katika Matumaini, tunakuomba utuepushe na changamoto zinazoweza...
Wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema wakisali sala ya kuiombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ukumbi wa Mahakama ya Kisutu.
Kanisa Katoliki Tanzania limetoa waraka kwa ajili ya kuwaandaa waamini wake kwa ajili ya kipindi cha Toba, kinachoanza rasmi Jumatano ijayo tarehe 14 Februari 2018 [ambayo ndiyo siku ya wapendanao, Valentine. tusherehekee kwa Toba eeeh tafadhalini!]. Kipindi hicho hujulikana pia kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.