SAMIA NA MAPINDUZI YA BANDARI ZA TANZANIA
Kuna uwekezaji ambao unaonekana kwenye majengo, magati, reli na mitambo. Lakini kuna uwekezaji mwingine ambao thamani yake kubwa haionekani mara moja kwa macho, ni uwekezaji unaobadilisha namna nchi inavyounganishwa na biashara ya kikanda, namna mizigo...