bandari ya kwala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Hoja ya Kikwete kuhusu Ridhiwani kwenye Uzinduzi wa Bandari Kwala ililenga nini, mbona haikuhusiana na kilichokuwa kinafanyika?

    Nadhani Mzee Kikwete anapaswa kubadilika na kuacha Uswahili wake, amevuruga Uzinduzi wa wenzake wa Bandari Kavu kwa kuchomekea yasiyohusika. Bila shaka Spana za Mitandaoni kote duniani kuhusu Familia yake kupitishwa bila kupingwa zimemuumiza sana, lakini ni vema angeita Waandishi wa habari...
  2. Roving Journalist

    Rais Samia akizindua usafirishaji wa mizigo kwa SGR na bandari Kwala Mkoani Pwani

    https://www.youtube.com/watch?v=wwLxEK9CEnE Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizindua Usafirishaji wa Mizigo kwa SGR Kwala Pwani, leo tarehe 31 Julai, 2025. https://www.youtube.com/live/hO2T3lOUjmI Update Sehemu ya Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan Ili...
Back
Top Bottom