balozi nchimbi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Makamu wa rais Balozi Nchimbi afika kutoa salamu za pole kwa Leonard Qwihaya

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amefika nyumbani kwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu. Leonard Qwihaya, Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam, kutoa pole kufuatia kifo cha Mama mzazi wa Ndugu. Qwihaya Bi. Laurencia Shija...
  2. M

    PostGE2025 Balozi Nchimbi vunja ukimya, Taifa linaelekea pabaya

    Balozi Emmanuel John Nchimbi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakuandikia ujumbe huu nikikuomba kwa heshima na unyenyekevu mkubwa uvunje ukimya ulisaidie taifa. Nchi yetu inaelekea kubaya kumeibuka wimbi kubwa la matamko yanayolenga kuwagombanisha wakristo na Serikali...
  3. PostGE2025 Makamu wa Rais Nchimbi: Tanzania ipo salama, mazungumzo ya MARIDHIANO kuanza

    Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesisitiza kuwa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imechukua hatua madhubuti za kulinda umoja wa kitaifa na kuhakikisha wananchi wanaishi kwa utawala wa sheria. Kauli hiyo alitoa akiwa mwakilishi wa Rais Samia katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi...
  4. GE2025 Nchimbi: CCM Itahakikisha Katiba Mpya inapatikana

    Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema miongoni mwa ahadi za chama hicho kwa Watanzania endapo watapata ridhaa ya kuwatumikia, watakwenda kuuhusisha mchakato wa Katiba mpya. Mchakato huo ulikwama mwaka 2014 kwenye hatua ya kura ya maoni ya Katiba...
  5. GE2025 Nchimbi: Watu wenye akili walio upinzani tutawaleta CCM

    Katika Muendelezo wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mara Mgombea mwenza wa Urais wa chama hicho Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho kitaendelea kuwachukua wapinzani wenye akili ili kushirikiana nao katika kuleta maendeleo nchini. Nchimbi ameyasema hayo leo Agosti 31...
  6. GE2025 Balozi Nchimbi asema yupo tayari na timamu kupokea maelekezo ya Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Mgombea mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amebainisha kuwa yupo tayari na timamu kuzitafuta kura za ushindi za Chama Cha Mapinduzi CCM kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba 2025, akiahidi pia kufanya kazi kwa bidii...
  7. GE2025 Balozi Nchimbi: Mgombea aliyeshinda kura za maoni apewe kipaumbele cha kuteuliwa au kupendekezwa na vikao

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeelekeza kuwa katika mchakato wa uchujaji na uteuzi wa wagombea wa nafasi za ubunge, uwakilishi na udiwani kwa Uchaguzi Mkuu wa 2025, mgombea aliyeshinda kura za maoni apewe kipaumbele cha kuteuliwa au kupendekezwa na vikao husika ili mchakato uendelee. Kwa mujibu...
  8. GE2025 Katibu Mkuu CCM Dkt. Nchimbi aongoza Kikao cha Sekretarieti ya maandalizi ya mchujo wa Wagombea

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiongoza kikao cha kawaida cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, leo Julai 14, 2025 katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM (White House) mkoani Dodoma. Kikao hicho kinachotarajiwa kuendelea hadi Julai 16...
  9. PreGE2025 Balozi Nchimbi: Maoni yoyote kuhusu amani ya Tanzania hayatapuuzwa

    BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA. Awahakikishia viongozi wa dini, taasisi za kijamii na kimila Awapongeza wanawake kusimamia amani Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa maoni yoyote yanayolenga kuhakikisha...
  10. PreGE2025 Balozi Nchimbi awakutanisha Paul Makonda na Mrisho Gambo, wapiga picha ya pamoja

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili kwenye ukumbi wa AICC kwa ajili ya kushiriki Kongamano la wanawake kama mgeni rasmi, leo Juni 24, 2025. Balozi Dkt. Nchimbi amepokelewa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, pamoja na...
  11. Ccm mtumieni Balozi NCHIMBI kumjibu Gwajima

    Ingawa siwapendi Ccm kabisa, kabisa, ila nataka niwaambie, mtu mwelewa, mwenye utulivu kushughulikia hii issue na press ya Gwajima, ni Balozi NCHIMBI pekee! Sasa nyie mtumieni Lucas!
  12. PreGE2025 Balozi Nchimbi aboresha taarifa zake kwenye Daftari la kudumu la Wapga Kua

    BALOZI NCHIMBI ABORESHA TAARIFA ZAKE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwa kwenye kituo cha uandikishaji wapiga kura kilichopo katika Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kilimani, Mtaa wa Kilimani, jijini Dodoma, kwa ajili...
  13. J

    PreGE2025 Balozi Nchimbi aelekeza wizara ya maji iweke msukumo mradi wa Tarime - Rorya

    BALOZI NCHIMBI AELEKEZA WIZARA YA MAJI IWEKE MSUKUMO MRADI WA TARIME - RORYA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa maelekezo kwa Wizara ya Maji kuweka msukumo na kipaumbele ili mradi wa maji wa Tarime - Rorya ukamilike kwa wakati uliopangwa na...
  14. PreGE2025 Balozi Nchimbi apiga marufuku wimbo unaochochea chuki dhidi ya wapinzani

    BALOZI NCHIMBI APIGA MARUFUKU WIMBO UNAOCHOCHEA CHUKI DHIDI YA WAPINZANI KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Emmanuel John Nchimbi amepiga marufuku wimbo unaobeza na kuchochea chuki dhidi ya vyama vya upinzani, akiagiza usitumiwe na wanaCCM popote, kwani wao wanapaswa kuwa mfano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…