The National Muslim Council of Tanzania (BAKWATA) is a leading faith-based Islamic organisation headquartered in Kinondoni ward of Kinondoni District in Dar es Salaam Region, Tanzania.
Kwanza kabisa huu uzi sio wa nia mbaya yoyote ile nimeanza kulisema hili mapema waswahili wanasema kuuliza si ujinga tunauliza ili tujifunze na kwa nia ya kujipatia elimu na maarifa
Na mimi nimeona nijifanye sijuwi lolote ili nielimike.
Naombeni mnijibu maswali yafuatayo ambayo yananipa utata...
Mara nyingi Watanzania hususani Waislam tumekuwa katika mkanganyiko mkubwa kwamba BAKWATA ni ya Waislam, wengine wakisema ya serikali, na wengine wakiwa na majibu yao mengine!
Nimekuwa nikimsikiliza mtu mmoja hapa katika mikutano yake nanukuu "BAKWATA ni tawi la Kanisa," baada ya kusoma rejea...
Habari zenu Wana JF,
Leo tujikite kwenye swala hili ambalo kimsingi ndio chimbuko la mgawanyiko wa maslahi ya watu fulani fulani. Nimekuwa nikipitia pitia vyanzo vingi ili kujua ni nani walioanzisha BAKWATA ambayo mpaka muda huu imekuwa ikilalamikiwa na Waislamu wengi kuwa ipo chini ya...
Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara ni kwanini serekali imekuwa ikiitambua BAKWATA kama mwakilishi halali wa Waislam wote Tanzania wakati wapo Waislam wengi wasioitambua au wasiofungamanana na BAKWATA. Yapo madhehebu tofauti tofauti katika dini ya kiislam [Shia, Sunni, nk] kama sikosei BAKWATA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.