BAJAJI ZA UMEME KWA MIKOPO NA CASH weka oda Yako sasa
Habari
Pasipo kupoteza muda naomba niende kwenye mada.
Nikiwa kama wakala wa mauzo Toka kampuni ya JAHA ELECTRIC VEHICLE INTERNATIONAL COMPANY LTD. Nspenda kuwatangazia kuwa kuna promotion ya bajaji au pikipiki za miguu mitatu zinazotumia...
Habari
Kampuni mpya ya jaha kutoka china imeleta bajaji mpya zinazotumia umeme, bajaji hizi ni bajaji za abiria na mizigo
Bajaji ya abiria
Bajaji za abiria zipo za aina mbili kuna kubwa na ndogo
Bajaji kubwa Ina uwezo wa kubeba abiria saba na dereva wa nane
Inachajiwa Kwa masaa manane Kwa...
Pikipiki za umeme za magurudumu matatu (bajaji) zilizoanza kutumika kwa mara ya kwanza katika Maonyesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF), zimerahisisha usafiri kwa wageni na washiriki huku zikihamasisha matumizi ya nishatisafi
Tofauti na miaka iliyopita wageni walitegemea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.