Dereva bajaji kwa mkataba anahitajika
1.Awe anaishi na kufanyia route Kigamboni
2.Awe na mdhamini mwenye makazi ya kudumu
3.Awe na leseni
4.Awe anafanya bolt
5.Awe mchapakazi na mwaminifu
Mawasiliano:0757208745/0617984818
TAARIFA YA UTAFUTAJI WA BAJAJI YA MKATABA (Ubungo na Maeneo ya Jirani)
Ndugu mpendwa,
Natumai ujumbe huu unakufikia ukiwa katika afya njema na shughuli zako zikiendelea vyema. Kwa heshima na taadhima, napenda kutumia fursa hii kuwasilisha nia yangu ya dhati ya kutafuta bajaji ya mkataba kwa...
Poleni na kazi wakuu,
Mimi kijana nahitaji kupata bajaji ya mkataba, kwa yeyote anamiliki au anataka kufanya biashara ya bajaji basi mimi niko tayari.
Napatikana Dar.
Kwa mawasiliano zaidi tuchekiane inbox kwa sababu ya kupunguza msongamano kwa wasio na nia na kejeri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.