Viongozi wa serikali nchini Iran pamoja na wakuu wa vikosi vya usalama Iran wanavaa baibui vazi la kiislamu kwa wanawake kujificha kuhofia kuuwawa na Mossad Israel.
Netanyahu kaleta hofu Iran hadi wanaume wanashindwa kutoka nje na wakitoka lazima wavae baibui na pia kutembea kwa tahadhari kubwa...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, SACP Richard T. Mchomvu, ametoa tamko rasmi kufuatia kusambaa kwa picha mjongeo kwenye mitandao ya kijamii zinazoonyesha kundi la vijana wakimvamia na kumshambulia mwananchi kwa kutumia silaha.
Jeshi la Polisi limewashikilia Vijana 8 kwa tuhuma za...
Hii video nmetumiwa,sijui ni wapi..
Ila hii style ya vibaka kuvaa baibui usiku ukijua na wanawake kumbe vibaka
Naona hapo mzee kabananishwa katulia
Ova
Habari zenu, natumaini ni wazima wa afya. Nipo na fremu ya nguo za mtumba ila sina mzigo wa kutosha.
Anehitaji kuniwezesha kwa mzigo namkaribisha, mitumba ya baibui, abaya za kikubwa na kitoto, kanzu za msikitini ndogo na kubwa pia madashdash, mabwanga pamoja na night dress hata viatu vya kike...
Kwa wale wanaohitaji baibui kwa jumla na rejareja kuanzia bei ya 8k, 10k nakuendelea tuwasiliane 0712094550 tunapatikana JENGO LA MACHINGA COMPLEX KARUME DSM. KARIBUNI SANA 0712094550
Habari zenu wadau. Naamini mpo vyema. Nahitaji mtu wa kushirikiana nae kibiashara nipo Zanzibar. Nahitaji baibui za mtumba ndo biashara ambayo nna expirience nayo coz niliwahi kufanya na mtu kabla lakini baadae alisafiri na alowaachia hawakuwa na mashirikiano mazuri na mtaji wangu ulikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.