bagia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge agawa bagia na soda kwa wakaazi wa Mbeya Mjini

    Naona lengo la ccm kuwapumbaza watanzania linaenda kutimia. Angalieni jinsi baadhi ya wana Mbeya wanavyo kimbilia kupata mgao wa bagia na soda kutoka kwa Mbunge wao kupitia ccm.
  2. JamiiForums Tanzania Nchi yetu ina watu duni mpaka wanagombania bagia za bure?!

    Hili tukio inasemekana limetokea Mbeya! Watu wazima wanagombania bagia za bure! Africa inasikitisha na kukatisha tamaa sana. Kama hali Iko hivi Mbeya wanaosemekana ndio wazalishaji wakubwa wa chakula nchini huko kwingine hali ikoje?!
  3. JamiiForums Tanzania Bagia za dengu maziwa na mayai

    ephen_ aliomba nimuonyeshe jinsi ya bagia za dengu zinavyo pikwaa Nilikuwa na shughuli za hapa napale uku naangalia mpira wa yanga tukashinda uku nanyoosha Nikawa nawaza chakula jion nikaona bagia kivile ni nyepesi kupika basi nipike Nikaandaa karoti na hoho Kisha nikachukua unga wa...
  4. JamiiForums Tanzania Kila aliyefanikiwa na kutajirika anasema alianza kuuza bagia za mia mbili

    Mhadhara (54)✍️ Bila shaka ni kweli, kwasababu sina hakika kama kuna tajiri aliyetamka kuwa utajiri wake umetokana na kurithi/biashara ya magendo/ufisadi/madawa ya kulevya/ujangili/dhuruma/ au kafara. Licha ya kwamba utandawazi (teknolojia) imetusaidia na inaendelea kutusaidia kushuhudia...
  5. JamiiForums Tanzania Jamani Bagia za Iringa tamu, hasa za Kalenga!

    Leo asubuhi nimeamka na hamu ya BAGIA ZA IRINGA, hasa za KALENGA!, liliko fuvu la Chifu Mkwawa aliyekuwa kiongozi wa Wahehe aliyepinga ukoloni wa Kijerumani mwishoni mwa karne ya 19 kabla ya kujiua mwaka 1898 ili kuepuka kukamatwa. Tuachane na ishu za historia maana isije ikawa ni chenga ya...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi wale wauza Bagia mbeya wapo mikoa mingine?

    Utasikia wale wateja bagia, wale wateja bagia zimenona tatu shilingi mitano karibu, karibu wateja wangu. Wapo uko mikoani?
  7. JamiiForums Tanzania Upishi wa Bagia za Dengu

    Habari zenu, natumai mpo salama. Mara ya mwisho nilitengeneza white sauce na leo napika bagia za dengu. Ukitaka kuangalia video ya haya mapishi unaweza kuangalia hapo chini. Ukipenda unaweza “kuilike” hiyo video, “kusubscribe” kwenye channel yangu na kuangalia video nyingine. Tuanze mapishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…