babu zetu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ELI COHEN

    Leo ndio wabongo wanashtuka eti babu zetu waliopelekwa utumwani uarabun waliishia wapi. Historia ilifocus zaidi katika ku-vilify wazungu, inasikitisha

    Kipindi tunafundishwa kuwachukia wazungu, unyama wa uarabu ulikuwa unafukiwa, hadi hapo watu walipoanza kwenda outside of the box na kugundua zaidi y I abu shiri, kugundua kuwa babu zao walihanisiwa na kufanyika mashine za kazi hadi kufa kwao huko uarabuni, waliobakia nachoamini ni less than 1%...
  2. President of China

    Hangover ya Colonialism bado inawasumbua nchi za Ulaya - Bunge la Ulaya likiongozwa na Ujerumani walioua Babu zetu na kuwatesa

    WABUNGE WA UJERUMANI NI: Michael Gahler David McAllister Hangover ya ukoloni bado inaonekana wazi kwenye siasa za kimataifa—hasa kwa mataifa ya Ulaya. Licha ya kuondoka Afrika kwa miongo kadhaa sasa, bado wanashindwa kukubali kuwa mataifa kama Tanzania ni huru, huru kujiamulia na kuendesha...
  3. M

    Nimegundua Kizazi cha sasa kimejaa wajinga kuliko Babu zetu- Shikamoo TAL

    Kitendo cha TAL kututetea na sisi kuendelea kulala majumbani kwetu inaonesha kuwa SISI sote ni wapumbavu na wajinga sana. Niliwaona Mababu zetu wajinga/wapumbavu kwa kitendo chao cha kumwogopa MWARABU mmpoja mwenye Jambia moja wakati wao wapo zaidi ya mia tano katika Msafara wa watumwa. Leo hii...
  4. Binti wa zamani

    Wanaume leo naomba niwape maua yenu

    Jamii zetu za kiafrika zimeweka mzigo mkubwa sana kwa mwanaume. Naomba kutambua mchango wenu na kuwapa maua yenu kama ishara ya shukrani. Shukrani za dhati ziwaendee; 🌹 Wanaume wanaoweka juhudi katika kazi zao halali, wakifanya kwa uaminifu na kujituma ili kujenga maisha bora kwao na familia...
Back
Top Bottom