Hili jambo la FARA hili mmh ni kama Serikali imeamua kununua "kipaza sauti" kule Washington D.C ili sauti yake isikike tofauti na inavyosikika sasa hivi.😂
1. Kwanini Marekani na kwanini Tom Graves?
Washington D.C. inatawaliwa na kitu kinaitwa "Lobbying Engine." Siasa za Marekani, hususan chini...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan atazindua Tume Uhuru ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya uchaguzi.
Mbunge wa Tarime Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Esther Matiko, amesema hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu sekta ya usafirishaji imebeba dira ya mapinduzi makubwa yatakayochochea kwa kiasi kikubwa ukuaji wa uchumi wa Tanzania.
Amesema maboresho yanayoendelea katika Bandari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.