Hili bifu limemtafuna Fid Q kwa muda mrefu na wimbo wa usiulize ndio diss track namba moja Tanzania ukimlenga moja kwa moja Fid Q
Je kuchelewa kujibu kwa Fid ni uoga au alikosa muda? amekosea timing au ndio wakati wake?
upande wangu nasubiri comeback kutoka kwa rado
Mbunge wa viti maalumu katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Khadija Taya maarufu kwa jina la Keisha amesema kwa muda wa miaka 14 vyama vya watu wenye ulemavu havikuwahi kupewa fedha za ruzuku za kujiendesha, na kwamba kuanzia mwaka 2023/2024 ilipatikana bajeti ya shilingi bilioni...
Nimeulizwa sana kwenye nyuzi, ngoja leo niwasimulie.
Jan 16, 2025 alinipigia simu ndugu yangu mmoja akasema anataka tuonanae. Nikamkaribisha nyumbani, akaja na akaanza kunielezea shida yake. Kiufupi, alikuja kuniomba nimuazime pesa na atanirudishia baada ya wiki mbili. Nikamuuliza kulikoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.