Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Ndg. Rabia Abdalla Hamid akiwa na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania, Ricardo Ambrosio Mtumbuida alipofika kuwasilisha salamu za pole katika Ofisi za Ubalozi wa Msumbiji jijini Dar es Salaam...
Niliwai leta mkasa wangu nafikri wapo wanao kumbuka baada ya kutoka Mozambique.
Akuna muda wa kupoteza
Tuendelee Sasa
Baada ya kurudi hapa tz nyumban nikiwa mfukoni Nina elf 30 TU naikimbuka sana hii siku nikawasili maskani ikiwa saa 3 usiku wife akuamka sio ishu ya chakula Wala kuweka maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.