aziz ki

Stephane Aziz Ki (born 6 March 1996) is a professional footballer who plays as a midfielder for the Burkina Faso national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. Aziz Ki atemwa Wydad Casablanca

  2. Doumbia hamna mchezaji, acheni mara moja kumfananisha na Aziz Ki

    Hans Rafael ni tapeli anayetumia kipaza sauti cha redio. Kila siku anaaminisha watu kuwa Doumbia ni mchezaji bora kumzidi Aziz Ki. Mpira ni mchezo wa wazi, Doumbia hana maajab hayo. Tunaojua soka tushaona na kujua uwezo wake ni very kawaida. Huyu Doumbia ni Deus Kaseke mwenye makeke!!
  3. M

    Kwanini Yanga imekubali kumuuza Best Player wake Aziz Ki kwa dola laki nane, ila inakataa kumuuza Mzize kwa dola milioni moja ? Akili gani hii?

    Habari wadau Naombeni majibu ya hili swali. Kwa nini Aziz kii alietingisha Africa nzima.. na ameisaidia yanga sana na sana kwenye game kubwa na ngumu amekubaliwa kuuzwa kwa dola laki nane kwenda wydad. Ila mchezaji mwingine wa yanga ambaye hana msaada kama aziz kii.. anakataliwa kuuzwa kwa...
  4. K

    Issue ya kufeli kwa Aziz Ki ni aibu kwa Soka Letu.! Jadili

    Kwamba huyu Bwana ndo star wetu..! Kwamba tukiwa tunajisifia eti Sisi ndo sisi huwaga tunamtaja na yeye ... Kwamba alivyokuwa kwetu Panga pangua humuachi kikosi cha Kwanza...! Sasa Unaambiwa Kafeli Wydad..! Ndio kafeli , hivyo yupo safarini kurejea. Lipo la kujadili hapa...
  5. Tetesi: Singida BS wanapambana kumsajili Aziz Ki

    Dunia inakwenda kasi sana,yaani Aziz Ki wakusajiliwa na SBS,ni baada ya kutemwa na waarabu
  6. Tetesi: Aziz ki kurudi yanga kama wydad wasipo lipa 10/07/2025

    Aziz Ki bado ana nafasi ya kurejea Yanga Aziz Ki alijiunga na Wydad kwa mkopo mfupi wenye kipengele cha kununuliwa mazima kabla ya tarehe 10/07/2025. Makubaliano ya Yanga na Wydad ni kulipwa pesa ya usajili wa Aziz (signing fee) ya Tsh 1.7b kabla ya tarehe 10/07/2025 lah sivyo Aziz atarejea...
  7. Aziz ki pole sana

    Aziz Ki mfumo umemkataa kabisa pale Wydad Casablanca, hapewi nafasi kabisa kuna uwezekano mkubwa akaondoka na kurudi Yanga kama watakuwa wamejipanga kumrudisha Wydad hawathamini kabisa uwezo wa Aziz Ki, amekua akianzia benchi zaidi na kupewa dakika chache mno kama mchezaji wa kawaida kabisa...
  8. Aziz Ki na Harmonize jifunzeni kwa Diamond jinsi ya kutunza ndugu zenu. Miaka yote ulimficha mama yako sababu amechakaa

    Kipindi nasoma chuo kuna binti alijifanyaga sista duu.mara paa baba yake mzazi akafariki. Rafiki yake wakaribu akatoa taarifa,tukajikusanya kukodi coaster kwenda msibani Binti mfiwa kidogo adondike,alikuwa akiishi uswazi mwananyamala kisiwani,nyumba imechokaaa. Aziz Ki mjinga sanaalimficha mama...
  9. Rasmi Aziz Ki apewa mkono wa kwaheri Yanga

    THANK YOU AZIZ KI
  10. Tetesi: Mchezo wa leo utakuwa wa mwisho kwa Aziz Ki kama mchezaji wa Yanga

    Mchezo wa leo wa nusu fainali ya CRDB CUP, Kiungo Stephen Azizi Ki utakuwa mchezo wake wa mwisho ndani ya kikosi cha Yanga SC. Azizi Ki anaondoka Yanga SC baada ya mchezo wa leo dhidi ya JKT Tanzania. Source: Nassib Mkomwa kupitia akaunti yake ya X zamani Twitter
  11. Hamisa Mobetto amtaka Ancelotti kumsaini Aziz Ki Real Madrid

  12. Aziz Ki hatakuja kuuzwa Wydad AC

    Nafikiri hizi stori za Aziz Ki kuuzwa Wydad tuzizike rasmi na tuachane nazo. Yanga haijawahi kutaka kumuachia Aziz Ki na kitendo cha aliyekuwa kocha wa Mamelodi, Rulani Mokwena kumsogeza na kuanza "kumnong'oneza" baada ya ile mechi ya robo fainali kati ya Mamelodi na Yanga ilichukuliwa kama...
  13. Aziz Ki, baada ya Haji Manara kumalizwa na kausha damu, na wewe jipange, huna muda

    Ni dhahiri kwamba kwa sasa Haji Manara fedha imekata. Keller zoote,lakini msingi wake hela hakuna. Ally Kamwe na yeye amekaba balaa, aisee wapare wana unga wa miti na makopera. Tutamaliza makafara ya mbuzi na kondoo za Dar kwa ajili ya huyu dogo. Ni mkavu kama mwili wake. Dogo hachimbwi dawa...
  14. S

    Aziz Ki ni kati ya Wachezaji 8 Wanaolipwa mshahara mkubwa zaidi ligi ya Afrika

    𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄...! Kwa Mujibu wa AfrikaFactsZone Hawa Hapa ni Wachezaji Wanaolipwa Zaidi Katika Ligi za Afrika Kila Mwaka. 01: Egypt πŸ‡ͺπŸ‡¬ - Ali Maaloul πŸ‡ΉπŸ‡³ | $1.5 million | Al Ahly 02: South Africa πŸ‡ΏπŸ‡¦ - Ronwen Williams πŸ‡ΏπŸ‡¦ | $320,000 | Mamelodi Sundowns 03: Angola πŸ‡¦πŸ‡΄ - Tiago AzulΓ£o | $263,000 | Petro de...
  15. Feitoto na Aziz ki katika sura zao za uzeeni.

    Alietengeneza hili bango ana chuki binafsi kwa shemeji yetu 🀣
  16. U

    Picha ya pamoja ya mchezaji Aziz Ki akiwa na Mama mkwe wake, mama mzazi wa mrembo Hamisa Mobetto

    Picha ya pamoja ya mchezaji Aziz Ki akiwa na Mama mkwe wake, mama mzazi wa mrembo Hamisamobetto.
  17. U

    Picha mbalimbali Aziz Ki akiwa nyumbani kwake

    Wadau hamjamboni nyote?
  18. Fei Toto awaacha mbali Nzengeli, Jean Ahoua, Aziz Ki kwa upisha wa mabao Ligi Kuu ya NBC

    Wakati huu Ligi ya NBC ikiwa katika mzunguko wa 23 Kiungo fundi wa Soka, Feisal Salum maarufu Fei Toto amewaacha mbali Nzengeli, Jean Ahoua, Aziz Ki na nyota wengine kwa upisha wa mabao Ligi Kuu ya NBC akiwa ametoa pasi za mwisho za magoli (assists) 12 huku wanaomfuatia wakiwa na 7 Soma: Jean...
  19. Aziz Ki anasumbuliwa na nyonga, kukosekana mechi ya dabi dhidi ya Simba

    Kocha wa Yanga Moulid Hamdi anasema kuna hati hati kumtumia Stephane Aziz Ki katika Derby ya kesho kutokana na kuwa na maumivu ya nyonga. "Hii mimi sio dabi yangu ya kwanza kucheza nilishacheza dabi ambayo ina watu zaidi ya laki moja na ishirini uwanjani, nina mchezaji mmoja pekee ambae hayupo...
  20. Kama huyu ni Aziz Ki, mimi ni nani mpaka nikatate tamaa ya maisha.

    Swali kuu ni je, Hamisa angekubali kuolewa kama Azizi angekuwa bado yupo hivi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…