awaonya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 5

    Zelensky awaonya wanajeshi wa Urusi kujisalimisha

    Hali imebadilika mwanzo wa hii operation Urusi ndio wakiionya Ukrain wanajeshi wake kujisalimisha lakini baada ya miezi 7 sasa Rais wa Ukrean Zelensky amekuja na kauli hii yeye kuwaambia wanajeshi wa Urusi wajisalimishe na hii ni baada ya Ukrean kufanikiwa kurejesha maeneo yake karibu kilimita...
  2. R

    Dkt. Lwaitama atoa somo kuntu kuhusu demokrasia ya Tanzania, awaonya vijana wa CHADEMA

    Akitoa maoni yake Dr. Azavel Lwaitama mdau mkubwa katika harakati za kutafuta nchi yenye demokrasia iliyo stawi yenye maridhiano, umoja, uhuru na maendeleo amesikika huko Clubhouse kwenye mjadala wa moto unaohudhuriwa na watu wengi kuliko jukwa lingine lolote la kijamii. Dr Lwaitama amewataka...
  3. S

    Mwanajeshi wa SAS, Uingereza, awaonya raia wa UK wasijaribu kwenda vitani Ukraine, badala yake wakae nyumbani waangalie movies za 'Call of Duty '

    Aliyekuwa mwanajeshi wa SAS amewaasa raia wa kawaida wa Uingereza wakae nyumbani na watazame kwa umakini movies za 'Call of Duty' badala ya kusafiri kwenda Ukraine kupigana na majeshi ya Russia. Phil Campion, mwenye miaka 53, alihudumu jeshini toka mwaka 1997, na akashiriki mapigano ktk kikosi...
  4. Kenya2022 Raila Odinga awaonya Wakenya dhidi ya kumchagua Ruto, amuita "Mr Promise"

    Kinara wa ODM Raila Odinga na kikosi chake cha Azimio wamewaonya Wakenya dhidi ya kumchagua Naibu Rais William Ruto. Waziri Mkuu huyo wa zamani alimtaja Ruto kuwa ni ‘Bw Promise’ ambaye anatumia ahadi ‘tupu’ kuwashawishi wapiga kura, na kukataa ahadi hizo baada ya kuingia madarakani. "Yote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…