awamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Awamu ya 5 ilivyobainisha watoto wa maskini na wa matajiri HESLB

    Miaka mitano hii imeigawanya sana jamii. Ukiwa mfanyakazi Serikalini una nafasi fulani na inakupatia mshahara mzuri basi uliambiwa wewe unatakiwa uishi kama shetani awamu ya tano Hapo inabidi umlipie feesza chuo mwanao. Mtoto ambaye wazazi wake hawaonekani kuwa na uwezo mzuri kiuchumi wanapata...
  2. Awamu ya Mama Samia Suluhu Hassan itakuwa kama ya Mzee Ruksa

    Kwa jicho la tatu nauona utawala wa Samia Suluhu Hassan (SSH) ukienda kufanana ama kushahabiana na utawala wa awamu ya pili wa Mzee Ruksa. Samia Suluhu Hassan ni Mzanzibari na Mzee Mwinyi pia alikuwa Mzanzibari. Hata kimuonekano tu na jinsi wanavyoongea, wote hawa wawili wana haiba fulani hivi...
  3. Je, Rais Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Awamu ya Tano au ya Sita kwa mujibu wa Katiba ya nchi?

    Leo asubuhi nememsikia mtangazaji mmoja wa East Africa Radio (kwenye kipindi cha 12:00- 04:00) akisema Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan ni Rais wa awamu ya sita. Yawezekana wengi wakawa na mtazamo huo, au wengi wakafuata mtazamo huo baada ya kumsikia mtangazaji huyo. Je, kwa mujibu wa katiba...
  4. Wafahamu Political Victim kwa kila Awamu

    Ndugu zangu habari, Kila awamu ya uongozi ina mtu mmoja maarufu ambaye anakuwa haendani kabisa na Mtawala aliyopo au waliendana badaye wakegeukana kisha kuathiliwa na matendo ya Mtawala huyo. 1. Oscar Salathiel Kambona, rafiki kipenzi wa J.K.Nyerere waliopendana na kutoshana kabla shetani...
  5. J

    Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan ni awamu ya 5 au 6?

    Naomba majibu Tafadhali ili kuwa na reference nzuri na ya uhakika humu jamvini. Baada ya Rais SSH kuapishwa leo je anaendelea kuongoza serikali ya awamu ya 5 au tumeingia awamu mpya ya 6? Naelewa kuwa ilani ya CCM inayotekelezwa ni ile ile. Maendeleo hayana vyama!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…