Habari yenu wana JF,
Nipo hapa kwa ajiri ya kutokea ushahidi katika uzi ambao niliutoa "AVIATOR HACK TRICK" wengi wao walikua wanakataa kua haiwezj kufanya kazi, kabla sijaendelea ningeomba kukujulisha au kukumbushwa kwamba katika hii dunia hakuna kitu kinachohusiana na kutengeneza pesa bila...