ateuliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima amteua Steve Nyerere kuwa Balozi wa Uviko-19

    Msanii maarufu nchini na Mwenyekiti wa Jukwaa la Mama Ongea na Mwanao, Steven Mengele 'Steve Nyerere' ameteuliwa kuwa Balozi wa harakati za kupambana na ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (Uviko-19). Steve ameteuliwa leo Alhamisi Agosti 12 na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia...
  2. JamiiForums Tanzania Fatma Ayoub Mwinyimvua ateuliwa kuwa Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Fatma Ayoub Mwinyimvua Simba kuwa Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu (FIU) kuanzia leo Julai 05, 2021 Awali, Fatma alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Sheria, Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMS), Dar
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…