Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza Mhashamu Renatus Nkwande amesema baadhi ya raia waliouawa katika maandamano yaliyofanyika Oktoba 29, 2025 na siku zilizofuata hawakuwa na silaha yoyote badala yake, waandamanaji hao walikuwa tu wakipaza sauti zao.
Askofu Nkwande ameyasema hayo wakati wa Misa...
Askofu Nkwande wa jimbo katoliki la Mwanza amelaani vikali mauaji ya raia akisema kwamba "tulifungiwa ndani na waliotufungia ni wenzetu ndugu zetu, vijana tuliowatuma kufanya kazi wamegeuka kuwa mikono miovu na kumwaga damu".
Nkwande aliyasema hayo wakati wa ibada maalumu ya kuwaombea waliouawa...
Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande amesema kilichotokea Oktoba 29 mwaka huu ni fedhea kwa taifa na kinalishushia taifa heshima iliyojengeka kwa miaka mingi kimataifa.
Akizungumza leo kwenye misa ya kuwaombea waliopoteza maisha kwenye vurugu zilizotokea wakati na...
Kanisa Katoliki jimbo kuu la Mwanza limezungumzia taarifa ya kupatikana Padre Nikata iliyotolewa na jeshi la polisi mkoa wa Ruvuma, Msikilize Mhashamu Renatus Nkwande.
Mhashamu Renatus Nkwande amesema kama Padri huyo alitaka kuacha Upadri yeye askofu alipaswa kujua na wala si mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.