askari wa barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Askari wa barabarani kumpiga dereva faini je amekuwa mahakama?

    Hili swala la askari wa barabarani kumpiga faini dereva haliko sawa kwani anakuwa amemhukumu dereva wakati yawezekana mahakamani angeshinda kesi. Ni vyema sasa mtu afikishwe mahakamani aitwe ajitete kwanza ndipo mahakama itoe adhabu kinyume na hapo ni wizi serikali inafanya kwani makosa mengi...
  2. Damaso

    Trafiki kama noma na iwe noma

    Trafiki alipolisimamisha gari, alimkuta dereva yupo sawa kila sekta: bima ilikuwa halali, mzigo ulikuwa na stakabadhi kamili, leseni ilikuwa bado hai, na matairi yalikuwa mazima bila tatizo. Baada ya kulikagua gari kwa kulizunguka mara mbili, ndipo akaibua kosa moja tu—ufa mdogo kwenye taa...
  3. A

    KERO Rushwa kati ya askari wa barabarani na daladala barabara ya Kigamboni-Mkuranga imekithiri, wahusika wamelala tunapata hasara

    Kumekuwa na vituo vingi vyenye askari barabara ya Kigamboni-Mkuranga na kila kituo askari wanadai kupatiwa shilingi elfu mbili. Mpaka siku inaisha tunakua tumepoteza kiwango kikubwa tu cha pesa. Wadau hasa TAKUKURU tunaomba mlitazame hili kwani tumewekeza pesa zetu katika sekta ya usafirishaji...
  4. BARD AI

    Dkt. Mpango: Askari wa Barabarani wakianza kuvaa Kamera itapunguza Rushwa

    DODOMA: Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amelitaka Jeshi la Polisi kukamilisha mchakato wa matumizi ya Kamera zitakazokuwa zikivaliwa na Askari wakiwemo wa Usalama Barabarani kwa lengo la kudhibiti Vitendo vya Rushwa Dkt. Mpango ameeleza hayo wakati akizindua Kituo cha Polisi Daraja A, Mtumba...
  5. Hakuna anayejali

    Askari wa barabarani kazi bado ngumu

    Elimu ya matumizi ya zebra na taa za kuongoza magari na waenda kea miguu bado haijawafika wananchi wengi hasa kwenye Manispaa mbalimbali, walau kwenye majiji watu wanaelewa. Ongezeni jitihada ya elimu hii live in majority siyo mnatumia vyombo vya habari tu. Leo nimepita mahala taa ya kuzuia...
  6. Hakuna anayejali

    Askari wa barabarani kazi bado ngumu

    Elimu ya matumizi ya zebra na taa za kuongoza magari na waenda kea miguu bado haijawafika wananchi wengi hasa kwenye Manispaa mbalimbali, walau kwenye majiji watu wanaelewa. Ongezeni jitihada ya elimu hii live in majority siyo mnatumia vyombo vya habari tu. Leo nimepita mahala taa ya kuzuia...
  7. je parle

    Kinana alikuwa sahihi, hawa askari wa barabarani ni majipu!

    Nazidi kusema hii nchi ni ngumu sana. Kila mtu alieshika sehemu anajifanya kuwa na mamlaka bila kujali sheria imekaaje. Hii kitu imetokea hapa Bugurun sheli gari za Kawe-Buza. Gari imesimamishwa ghafla na askari, dereva anaambiwa peleka gari kituoni, dereva kagoma kauliza kosa langu ni nini...
  8. Replica

    Askari wa barabarani wamuige askari wa Morocco kuongoza magari

    Asubuhi na jioni ni muda ambao magari huwa mengi na askari wa usalama barabarani(Traffic) hujitahidi kupunguza adha hii kwa kuzipa kipaumbele barabara ambazo zina msongamano mkubwa zaidi wa magari. Kinachotokea, mathalan upo kwenye barabara yenye magari pungufu, askari huyo ukakuzuia na ukawa...
Back
Top Bottom