Kijana Jovin Kaaya, Mzaliwa wa King’ori, Wilayani Arumeru Mkoani Arusha, amesimulia safari yake ya kukamatwa, kushitakiwa kwa kosa la uhaini, pamoja na hali na maisha aliyopitia akiwa chini ya uangalizi wa Vyombo vya Dola kuanzia Kituo cha Polisi hadi alipofikishwa Gereza la Segerea jijini Dar...
kwenye Picha ni Askari wa jeshi la magereza ASP ABBAS RAJABU MKALI aliyepigwa risasi na jeshi la polisi maeneo ya Mazizini jijini Dar es Salaam akiwa anatambea, Mkali alikuwa Dar kwa likizo, kituo chake cha kazi ni Gereza la Mbarali.
Tunaposema wameua watu wasio na hatia tuna maanisha.
Askari wa Jeshi la Magereza mkoani Njombe Erasto Mlelwa (26) amejiua kwa kujirusha kutoka kwenye gari la polisi baada ya kubainika kushiriki mauaji ya askari mwenzake wa jeshi hilo Dickraka Mwamakula (24) huko Lilondo halmashauri ya Madaba mkoani Ruvuma.
Hayo yamebainishwa leo Septemba 21,2025...
Nilikuwa nafikiria hii kitu sababu ya kesi inayoendelea ya mchongo ya Lissu. Ila nikajiuliza kwa nini magereza wanajipa majukumu ya mahakama wakati sio ofisi zao.
Ukiangalia kazi ya askari magereza ni kukufikisha mahakamani na kukubizi kwa askari ambo ni wa mahakama.
Askari wa mahakama...
Tunapokutana na matatizo au changamoto mbalimbali tunapata fursa ya kuchagua mambo mawili. Mosi ni kukabiliana na changamoto na kujaribu kuzitatua ili zisiwepo na jambo la pili ni kujaribu kuzoea changamoto na kuendelea kuishi nazo hata kama zinakutesa.
Miaka mitano iliyopita bi mkubwa wetu...
TAARIFA KWA UMMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapaza sauti kwa hasira na huzuni kubwa kulaani vikali kitendo cha kinyama na kisicho cha kibinadamu kilichotekelezwa na askari wa magereza, ambaye alimshambulia kwa kumsukuma kwa nguvu na kumuangusha Mwenyekiti wa Chama Taifa...
Watu wasiojulikana wamemuua Mkazi wa Mtaa wa Lwelyangula kata ya Kitangiri mkoani Shinyanga Malini Kilucha (37) ambaye ni Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Magereza kwa kumfunga mdomo na pua kwa kutumia nguo alizokuwa amezivaa karibu na nyumba aliyokuwa akiishi.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Shinyanga...
Katika hali inayoendelea kuitia dola aibu, Leo mahakamani Askari Magereza amemsukuma ndugu Lissu na kumsababishia sintofahamu kubwa.
Lissu ambaye ni kiongozi wa Umma, ambaye anastahili heshima katika jamii, inashangaza dola inamfanyia kitendo hiki. Dila isiyoheshimu viongozi wa umma hii ni dola...
Nimepatwa na mshangao leo na joto lote hili la Da-es-Salaam hawa askari wa jeshi la magereza ambao humsindikiza Tundu Lissu mahakamani na kusimama mle, bila haya wa soni huvalia matambara usoni kuficha nyuso zao kwa muda wote wa kesi inavyoendelea.
Ni nini hii kuficha aibu, kuona haya, kuogopa...
Katika historia ya mihimili ya dola, mahakama ndiyo taasisi ya mwisho ya utoaji wa haki—lakini leo tunaishuhudia ikigeuzwa jukwaa la uonevu na maigizo ya kisiasa. Ni jambo la kusikitisha na la kuaibisha kuona askari wa serikali wakivamia mahakama wakiwa wamevalia mask kana kwamba wanakwenda...
Tundu Lissu atofautiana na Askari Magereza Mahakamani, azuiwa kushikana mikono na Mawakili wake ambapo alizuiwa pia kupeana karatasi na Mawakili wake, jambo lililosababisha mvutano kati yake na Askari waliokuwa wakimlinda.
Pia soma > DSM - GE2025 - Lissu alalamika kuzuiwa kuongea na mawakili...
Tundu lissu Leo amefanyiwa vitu vinavyoashiria hukumu ya kesi yake askari magereza wanaijua tayari,!! Nikama tundu lissu tayari amehukumiwa, ni mfungwa na Hawa askari wanamuescot tundu ni kama sio binaadamu ni wanyama wenye uchu wa kumtafuna kabisa. !! Tundu Hana hata uwezo wa kukimbia...
Wakuu!
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, akiwa kizimbani Mahakamani, aliingia kwenye mvutano mkali na Askari Magereza wakati anajadiliana jambo na Mawakili wake ambao inadaiwa kuwa alizuiliwa kuongea nao Mahakamani hapo.
Leo Julai 11, 2025, Lissu alifika Mahakamani hapo kwa ajili ya...
Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS) kimetoa taarifa rasmi leo tarehe 30 Juni 2025 kuhusu tukio la kuuawa kwa mmoja wa wanachama wake, Wakili Joseph Masanja (Roll No. 7664), lililotokea tarehe 23 Desemba 2024 katika bwalo la Jeshi la Magereza, Babati – Manyara.
PIA...
Naweza kusema hii ni aibu kubwa sana kwa ofisa wa jeshi la magereza kushikiliwa na jeshi la Polisi akituhumiwa kumlawiti mtoto mdogo mwenye umri wa miaka 13.
Taarifa fupi ya jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro iliyotolewa na kaimu RPC,kamishna msaidizi wa jeshi la polisi(ACP),Abel mtagwa...
Dar es Salaam, 02 Aprili 2025.
Jana tarehe 01 Aprili 2025, LHRC ilipokea taarifa za kuuawa kwa mwananchi mmoja aitwae Emmanuel Lucas Mwenye umri wa miaka 18 mkazi wa Kijiji cha Kisangura Wilaya ya Serengeti mkoa wa Mara kilichosababishwa na askari wa Jeshi la Magereza Sijali William Hence na...
Huyu haji manara mdomo wake ni mchafu anajikuta ana mamlaka ya kumtusi na kumdhalilisha yeyote kama kesi ilikuwa na magereza wafungwa wamefuata nini anasahau naye kesho anaweza kuwa mfungwa.
Na hao kituo cha sheria za haki za binadamu hatusikii wakikemea kitu wafungwa wapo kutumikia makosa yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.