arajiga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Arajiga Mechi ameshindwa kuimudu

    Nimeangalia dakika 5 tu za mchezo, ila nimeona kabisa hii mechi imemshinda na ameshindwa kumudu. Ni Ubabe tu na kutoa Macho kwa wachezaji ndio kitu anajua.
  2. ngara23

    Tetesi: Ahmed Arajiga amekataa kuchezesha Derby ya June 15

    Ahmed Arajiga na set nzima ya waamuzi wametuma barua Kwa Bodi ya ligi kuwa hawako tayari kuchezesha Derby hiyo hadi Bodi ya ligi itakapoweka sawa mgogoro Yao na timu zinazoshiriki hiyo derby, maana ni wazi Yanga ameweka msimamo wao wazi kuwa hawachezi Mwamuzi kama Arajiga amejitengezea CV kubwa...
  3. G.T.L

    AHMED ARAJIGA kuchezesha Derby tarehe 8

    Sasa ni Official, Referee Ahmed Arajiga ndio msimamizi wa mechi ya Yanga vs Simba tarehe 8. Sasa ngoja tuone kama kutakua na malalamiko kutokana na makosa ya kiusimamizi.
  4. upupu255

    Arajiga kuchezesha mechi ya kufuzu Kombe la Dunia 2026

    Waamuzi wa Tanzania Ahmed Arajiga, Kassim Mpanga, Said Hamdani na Salum Nasir wameteuliwa na na Shirikisho la soka Duniani (FIFA) kuchezesha mchezo wa Kundi G wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 kati ya wenyeji Botswana dhidi ya Algeria utakaopigwa Mjini Francistown Nchini Botswana Machi 21...
  5. mwehu ndama

    Refa Arajiga hacheki na wowote

    Referee wa Tanzania ndugu Arajiga ndie referee katili na asiyetaka masihara na kazi yake hapa bongo .. Huyu jamaa nilianza kumuogopa nakumuona nuksi ile Siku alipomlima kitasa Ibrahim Bacca kadi nyekundu dakika ya 16 mchezo kati ya Bingwa wa mabingwa , nguli wa soka la bongo "Yanga" " Azam...
  6. ngara23

    Ahmed Arajiga kwanini hapewi kuchezesha mechi za Simba?

    Arajiga ni mwamzi Bora kabisa katika nchi yetu tukubali tukatae, akiamua mchezo kila mpenda mpira Huwa anaridhika kabisa na kuona haki imetendeka Arajiga msimu huu pekee amechezesha mechi za Yanga 6 Yanga lakini hajapewa mchezo wowote wa Simba auamuwe. Simba wamekuwa walipewa waamzi...
  7. Komeo Lachuma

    Nlipoona tu Referee ni Arajiga nikasema hapa hatutoboi leo

    Hii match angepewa Kayoko ndo anaweza imudu. Arajiga hana stahimili. Anagawa sana kadi na pia si msikivu. Sikupenda yeye kupewa hii match. Nlijua tu kushinda ni ngumu. Huyu jamaa asiwe anapewa derby. Derby apewe Kayoko ndo anazimudu sana. Tumefungwa lakini kwa mbinde.
  8. D

    Arajiga apewi mechi za Simba . Tukiongea Ligi Ina rushwa ?

    I will be short Lini umeona Simba mechi yake anachezesha arajiga ?? Yanga mechi 3 . Azam fc . Ila Simba mechi zao zote ni za bahasha . Leo Refa kawa onea sana Namungo . Karia kavuta pesa za mo . Kuwapa ubingwa wa mezani Simba . Kila mechi ya Simba refa anamakosa ya kibinadamu .
  9. G

    Naweza kupata wapi orodha ya mechi za ligi kuu zinazochezeshwa na Arajiga ?

    Nimetokea kuvutiwa na baadhi ya waamuzi kwa jinsi wanavyochezesha mpira kwa namna inayoleta burudani Mfano napenda sana kuangalia mechi za Arajiga, ni mechi ambazo timu ikilemaa inakula dozi ya kutosha, mfano ni leo kenglold wamebebeshwa kilo 4 na Azam. Ni wapi naweza kupata orodha ua mechi...
Back
Top Bottom