antony mavunde

Anthony Peter Mavunde (born 2 March 1984) is a Tanzanian politician who has been a member of the ruling party CCM since 2006. He is the current Minister of Minerals and a Member of Parliament.

View More On Wikipedia.org
  1. THE FIRST BORN

    Hivi Antony Mavunde huwa ana nafasi gani pale Yanga?

    Habari mwana jukwaa la sport. Nilikua nasoma farewell ya Aucho aliyowaandikia Yanga..nilivyofika sehemu anatoa pongezi nikakutana na jina la Antony Mavunde. Na hii si mara ya kwanza huyu jamaa kutajwa na wachezaji wa Yanga nishamuona sana Aziz akimtaja na ku dedicate magoli kwake yani unaona...
  2. W

    GE2025 Antony Mavunde achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Mtumba

    Aliyekuwa Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde, amechukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge wa Jimbo la Mtumba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akieleza kuwa endapo atapata ridhaa ya chama, atakuwa tayari kuwania nafasi hiyo kwa ajili ya kuwatumikia wananchi. Akizungumza mara...
  3. W

    Waziri Mavunde atoa siku 21 Tume ya Madini kupitia mfumo wa biashara ya madini ndani ya ukuta Mirerani

    Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, ameielekeza Tume ya Madini kupitia upya mfumo wa biashara ya madini ndani ya ukuta wa Mirerani, Wilaya ya Simanjiro, ili kuja na pendekezo bora zaidi la namna ya usimamizi na uendeshaji wa biashara ya madini ya Tanzanite kwa lengo la kuongeza thamani ya...
  4. W

    Antony Mavunde atoa siku 30 kwa mgodi wa magambazi Tanga kuthibitisha uwezo wa kuendelea

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ametoa muda wa siku 30 kwa Kampuni PMM Tanzania Limited inayoendesha na kumiliki Mgodi wa Kati wa Dhahabu wa Magambazi, uliopo katika Wilaya ya Handeni, Mkoani Tanga, kuwasilisha taarifa za kifedha na kiufundi ili kuthibitisha uwezo wake wa kuendesha mgodi huo...
  5. W

    PreGE2025 Antony Mavunde agawa kompyuta kwa shule za serikali Dodoma

    Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Peter Mavunde amegawa vifaa vya tehama vikiwemo kompyuta, printer Kwa shule zote za Serikali za jiji La Dodoma. Sanjali na hayo, Mhe. Mavunde amegawa compyuta 41 kwa ofisi zote za kata katika jiji La Dodoma Pamoja na kuzindua...
  6. ChoiceVariable

    Antony Mavunde: Wafanyabiashara kurejeshewa Madini yao yaliyochukuliwa na Serikali mwaka 2017

    Hayo ndio yamejiri huko Mererani Wakati Waziri wa Madini bwana Antony Mavunde akizindua Mnada wa mauzo ya Madini ya Vito kwenye Jengo jipya lilojengwa na Serikali maarufu kama Magufuli House. Bwana Mavunde bila kueleza sababu za serikali kunyachukua Madini kutoka kwa wafanyabiashara mwaka 2017...
  7. Blasio Kachuchu

    Barrick yakabidhi gawio la mrahaba vijiji 5 wilayani Tarime Barrick yakabidhi gawio la mrahaba vijiji 5 wilayani Tarime

    Viongozi wa vijiji vilivyopata gawio la mrahaba wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mavunde na viongozi wa Barrick na Serikali mkoani Mara. Kampuni ya Barrick nchini yenye ubia na Serikali kupitia kampuni ya Twiga Minerals kupitia mgodi wake wa North Mara, imekabidhi gawio la shilingi...
Back
Top Bottom