Spika mstaafu wa Bunge, Anne Makinda, amesema Watanzania wamezidi maneno badala ya vitendo, akiwataka kubadili mtazamo huo kwa kuiga mfano wa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu na mbunge wa Ismani, marehemu William Lukuvi kwa kutanguliza kazi.
Akizungumza leo...