anna henga

Anna Aloys Henga is a Tanzanian lawyer and human rights activist who is known for her social services including women empowerment initiatives such as coordinating anti-female genital mutilation in Tanzania. She became the executive director of Legal and Human Rights Center in 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    Dkt. Anna Henga: Bunge la 13 halina uhalali wa kisiasa, wananchi hawakuridhika na uchaguzi uliofanyika

    Leo, tarehe 27 Januari 2026, Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeanza rasmi Mkutano wake wa Pili Jijini Dodoma. Kufuatia kuanza kwa mkutano huo, Dkt. Anna Henga (Wakili), Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), ameeleza mtazamo wake kuhusu Bunge hilo...
  2. Roving Journalist

    PreGE2025 Dkt. Anna Henga: Kujiandikisha na kuboresha taarifa zako kwenye Daftari la Kupiga Kura ni hatua muhimu ya kutimiza Haki yako ya Kikatiba

    Kujiandikisha na kuboresha taarifa zako kwenye Daftari la Kupiga Kura ni hatua muhimu ya kutimiza Haki yako ya Kikatiba ya Kidemokrasia. Ukijiandikisha unakuwa na uhakika wa kushiriki kwenye mchakato wa kuwapata Viongozi Bora wa Nchi na Jimbo lako. Anasema Dkt. Anna Henga ambaye ni Mkurugenzi...
  3. chiembe

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu hawajakemea ubaguzi wa jinsia, ukanda, na udini unaifanywa na Lissu na Heche

    Hiki kituo ni kama extension ya chama cha chadema. Chadema wanapofanya ukukwaji wa haki za binadamu kwa kudharau jinsia ya kike, kudharau wazanzibari na waislamu. Hawa jamaa hawasemi neno. Mabingwa na kufanya hivyo ni Lissu na Heche. Nadhani sasa Tume ya uchaguzi na ofisi ya msajili wa vyama...
  4. Suley2019

    SI KWELI LGE2024 Dkt. Anna Henga (LHRC) amesema CCM kuuawa ni haki yao

    Wakuu salaam, Nimekutana na posti hii ikielezea kuwa Anna Henga wa LHRC wamesema kuwa CCM kuuawa ni haki yako huku ikiwa na picha ya yule Mama wa CCM aliyeuawa hivi karibuni. Post hii hapa Chini:
Back
Top Bottom