anasema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuanzia leo nisikie kiongozi wa dini anasema utawala hutoka mbinguni.

    Walah najiapiza siku hio nitajulikana.. Kama kweli uongozi unatoka kwa Mungu inawezekanaje yule mtu ambae..Mungu aliwaidhinisha wote akawapa kibali cha kuongoza leo analazimishwa kujiondoa!! How comes!! How is that possible?? AU kibali cha uongozi Mungu ambacho hua anatoa ni kwa Rais tu...
  2. R

    Rais Samia: Sasa Dodoma umeme ni ware ware hakuna tena kukatika, Uhakika 24/7

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia Watanzania kuimarika kwa huduma ya nishati ya umeme nchini kufuatia kukamilika kwa miradi mikubwa ya miundombinu na usambazaji wa umeme. Akizungumza tarehe 22 Agosti 2026 wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kituo cha...
  3. Nani anasema pombe ina maliza pesa na kuleta umaskini?

    Pombe inamaliza pesa na kuleta umaskini kwa watu wenye akili ya kimaskini🤔 Kama una akili ya kimaskini usiguse kabisa pombe, pombe ni kinywaji cha watakatifu wenye udhubutu na akili mtambuka. Kanisa takatifu la mitume Catholic sio mambaga wakabariki pombe, pale kibosho kanisa langu...
  4. M

    Nilichojifunza mimi binafsi kwa watu, ndicho huyu mzee anasema

    Mwaka 2011 nilipata kazi na kuajiriwa as mwalimu serikalini hiyo ni baada ya kusota sana kutafta ajira ya fani yangu ya Sheria . Nilikula msoto sana kupata ajira ya sheria , no connection in town huna ajira zaidi ya kufanya KAZI ya kujitolea kweny law firm . pamoja na familia yangu kuwa na...
  5. Masikio yangu yanaumia sana nikimsikia mtu anasema, "binafsi yangu" 😸😹

    Hivi mtu anaposema, "binafsi yangu", anamaanisha nini? Binafsi + yangu= ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…