amiri jeshi mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Ukweli kama Amiri Jeshi mkuu ameshindwa Jukumu la kulinda raia na kinyume chake raia wanatekwa na kuuawa hivyo ajiuzulu au atukabidhi wauaji

    Kazi kubwa kama amiri Jeshi ni kulinda raia wa nchi yake Kama ameshindwa Hilo jukumu Hana sababu ya kuendelea kubaki kwenye hiyo nafasi Na wote watakaondelea kutii amri yake kinyume na katiba ya jamhuri ni waasi wa taifa letu tukufu Serikali ya uasi Ile inashindwa kulinda katiba ya nchi na...
  2. Wanaharakati wameelewa nini maana ya kiapo cha utii kwa AMIRI JESHI mkuu kinachofanywa na JWTZ

    Wanaukumbi. Nadhani sasa wanaharakati wameelewa nini maana ya kiapo cha utii kwa AMIRI JESHI mkuu kinachofanywa na JWTZ.. Hawa ndiyo wanajeshi mlikuwa mnajazwa ujinga eti wanawatumia wanaharakati wenu meseji DM 😁😁😁 Wanaharakati wenu hawanaga akili kabisa !.. Ila leo wameelewa nini maana ya...
  3. Rais Samia kuzungumza na wakuu wa JWTZ huko Tanga

    Ni ajabu kuwa HabariLeo wameiweka hii taarifa Instagram wakaifuta haraka baada ya kupata comments nyingi toka kwa wananchi. Mbona sio kitu cha siri? Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan, leo anakutana na viongozi wakuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)...
  4. PostGE2025 Rais Samia umeongea kama Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania

    Wanaukumbi. Ni mtu mjinga tu ambaye angeweza kudhania kuwa Rais Samia angejitokeza hadharani na kuongea na wazee wa Dar Es Salaam na kuanza kutiatia huruma na kubembeleza watu!.. Rais Samia ametenda sawasawa kama ambavyo Rais mwingine yoyote angetenda kutokana na nyakati hizi za sasa. Yaaani...
  5. PostGE2025 Kabla ya hii Genocide ulitishia watakaoandama kwa "Uamiri Jeshi Mkuu", usitumie kichaka cha "Mkumbo" kukwepa lawama, wajibika kama "Amiri Jeshi Mkuu".

    Haya mambo ya kusema "Waliandama kwa mkumbo" wala hayana mantiki yoyote kwa sasa. Kwa sababu wewe kama Amiri Jeshi Mkuu ulipaswa kudili na hao "Waleta Mkumbo" kwa wananchi wako kabla hayajatokea ya kutokea. Kama ulifeli ku-intervene hao waleta mkumbo, kosa linakuwa ni la kwako, siyo la...
  6. N

    Rais wangu Samia huongei kama Amiri Jeshi Mkuu na Mkuu wa Serikali

    Rais wangu Samia leo nimekwazika mno kwenye hotuba yako 1. Hukutakiwa kusema hatuigiliwi mambo yetu ya ndani ungesema MTU ASIJARIBU NA AKIJARIBU HATAPATA MUDA WA KUJUTIA ILA NDUGU ZAKE WATAJUTA KWA NIABA YAKE. ujumbe ufike vizuri 2. ETI UNAWASAMAHE VIJANA KISA MKUMBO ? KWELI HATA MIMI KESHO...
  7. Nyerere, Mwinyi, Mkapa kamwe wasingethubutu kutishia raia kwa "Mimi ndiye amiri jeshi mkuu" au "Hakuna Nywi nywi nywi"

    Hata hali ingekuwa mbaya vipi upande wao kisiasa, kamwe hawa wazee wetu wasingethubutu kutishia wananchi kwa kutumia hiko cheo cha juu cha nchi hii ambacho kiuhalisia ni "Sacred Post". Labda endapo kungekuwapo na tishio la kikundi cha uvunjifu amani kama yale yaliyotokea Kibiti. Lakini kamwe...
  8. D

    “Mimi ndiye Amiri Jeshi Mkuu”: Hivi kuna Amiri Jeshi Mdogo??

    Samia Suluhu Hasani amesikika mara nyingi akijitambulisha kuwa yeye ndiye “Amiri Jeshi Mkuu” wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama; mimi swali langu, je kuna Amiri Jeshi “mdogo”??? Bi Mkubwa anaielewa vyema hiyo hadhi anayojitanabaisha nayo kila wakati? Au mahali hapa ndipo tatizo la elimu mbalimbali...
  9. GE2025 Kauli ya Samia kusema hakuna atakaeandamana, na kusisitiza kwa kusema mimi ni Amiri Jeshi Mkuu wa nchi, imezidi kuwapa nguvu polisi kufanya maovu

    Kauli aliyoitoa leo Samia Oktoba 21, 2025 pale Kinondoni yakusema Mimi ndio Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi, Oktoba 29 maandamano pekee yatakayotokea ni ya kwenda kupiga kura, naona imewapa viburi zaidi polisi na vyombo vya ulizi na usalama kwa ujumla. Yani kauli yake ni oda kubwa kwamba kila...
  10. R

    GE2025 Hili la mgombea kujitangaza kuwa Yeye ni Amiri Jeshi Mkuu, limekaaje?

    Salaam! Hivi Mwananchi aliyehudhuria mkutano wa kisiasa kusikizwa sera za wagombea Ili azichambue na kuchagua wa kumpa kura kuridhia kuongozwa na chama na mgombea husika, Swali no 1. Mwananchi akisikia mgombea akijinadi kuwa Yeye ni Amiri J Mkuu, atapata picha gani kichwani? Kura yake yaweza...
  11. GE2025 Amiri Jeshi Mkuu anapokiuka Katiba, na inapokosekana Mifumo thabiti ya kumwajibisha, Jeshi linapaswa kuchukua hatua

    Katiba inatambua haki ya msingi ya uhai na kuishi kwa kila mwananchi. Amiri Jeshi Mkuu anapokiuka Katiba kwa kuruhusu operesheni za Wananchi wanaompinga kutekwa, kupotezwa na kuuwawa huku Taasisi zinazopaswa kumwajibisha zikiwa zimekufa mfano Bunge, Mahakama, Tume ya Haki za Binadamu na Ofisi...
  12. GE2025 “Mimi ndiye Rais” “Mimi ndiye Amiri Jeshi Mkuu”. Maneno haya wanayatumia vibaya kuanzia Jakaya, Magufuli na sasa Samia

    Hii kauli ya “Mimi ndiye Rais” ni Kama vile inatumika kutisha wanaohoji kuhusu haki zao Mwaka 2015 September wakati wa kuelekea uchaguzi Kikwete aliwatisha Wananchi kwamba “Mimi ndiye Rais sitaki mtu kuandamana, na mtakiona cha mtema kuni.” Ina maana ni kuwatisha Wananchi wasitimize haki yao ya...
  13. Y

    Kwako Amiri Jeshi Mkuu, ikiwa kuna haja nipo tayari kukuletea funguo za Ikulu ya Rwanda mikononi mwako

    Mheshimiwa Rais, Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, PhD Samia Suluhu Hassan, Kwa heshima kubwa, naandika ujumbe huu kwako kama kijana mzalendo wa Tanzania na Afrika nzima. Nimelelewa katika misingi ya amani, utu na mshikamano wa bara letu, misingi iliyopandikizwa na Mwalimu...
  14. Mchungaji mwingine aibuka, asema Rais Samia hawezi kukwepa lawama za wanaouawa na kutekwa

    Viongozi tunapowachagua tunakuwa tumechagua watu wa kututumikia, hatukuchagua miungu wa kuwapigia magoti. Leo kila siku watanzania wanatekwa, kila siku watanzania wanakufa halafu juzi nimemsikia mama Samia anasema mimi jamani wakiwauliza huko, mkiwasikia wanasema waambieni sijaua mtu. Yeye...
  15. PreGE2025 Janeth Rithe: Rais Samia wewe ndiye Amiri Jeshi Mkuu, ukisifiwa kwa mazuri basi hata mabaya pia hauwezi kuyakwepa (KUMBUKIZI)

    Huyu mama sasa hajapindisha maneno wala kuongea kwa tafsida kama Gwajima, yeye amelenga mulemule kwa mama. === Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa wa ACT Wazalendo, Janeth Joel Rithe amesema kuwa Rais Samia Suluhu hawezi kukwepa wajibu juu ya malalamiko ya wananchi kuhusu matukio ya utekaji...
  16. S

    JWTZ hawapaswi kuwa na uhalali wowote wa kuchukua silaha dhidi ya wananachi

    Katika jeshi nilijifunza jambo moja, kwamba kuna amri halali na isiyo halali. Kwa mfano, huwezi ukaamriwa kumpiga risasi askari mwenzio na kutii kwa sababu tuu umeamriwa na kamanda wako. Sasa je, Amiri Jeshi Mkuu anaweza kutoa amri ambayo sio halali kwa jeshi, JWTZ kwa sababu tu yeye ni Amiri...
  17. Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

    Najua habari hii imewauma sana makamanda ninawafahamu wa JWTZ! Najua habari hii imemuua sana kamanda Luteni Generali Mstaafu Mwakibolwa. Najua habari hii imemsononesha sana General Mstaafu Davis Mwamunyange. Najua habari hii haijamlaza vizuri mwamba Luteni General Abdulrhman Shimbo. What we...
  18. Tanzania ipo mikono salama chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

    Tanzania ipo mikono salama chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. Rais Samia ni Amiri Jeshi Mkuu na anahakikisha mipaka ya Tanzania ipo Salama na watanzania wanakuwa na tabasamu kila kukicha. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp...
  19. Barua ya Wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, na Mwenyekiti wa CCM Taifa

    Kwako, Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa, Mpendwa Kiongozi wetu, Nakupa salamu za heshima na taadhima nikiwa na imani kubwa na uongozi wako imara. Kwa niaba ya Watanzania wote, napenda...
  20. Kitabu kipya cha Eric Kabendera: In The Name of The President; Memoirs of a Jailed Journalist

    Kwa Jina la Rais: Kumbukumbu za Mwandishi wa Habari Aliyefungwa Ni simulizi la Erick Kabendera kuhusu uzoefu wake chini ya utawala wa Rais John Magufuli wa Tanzania. Kitabu hiki kinaelezea jinsi uandishi wake wa uchunguzi ulivyomsababisha kukamatwa kwa madai ya utakatishaji fedha na ukwepaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…