Jeshi la Polisi Kamisheni ya Zanzibar katika kuhakikisha Amani na Usalama wakati wa kampeni na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 limejipanga vyema kuhakikisha ulinzi na usalama unahimarishwa wakati wote na kwamba wananchi wanaitumia haki hiyo ya kikatiba kuwachagua viongozi wanaowataka.
Uchaguzi Mkuu...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, ametoa wito kwa Waandishi wa habari kuendelea kushirikiana na Serikali katika kuwaelimisha na kuwakumbusha Watanzania juu ya umuhimu wa tunu ya amani na usalama, ambayo ni urithi kutoka kwa waasisi wa taifa letu, Tanzania.
Ametoa wito huo...
Habari tulizozipata zinaeleza kwamba kiongozi mmoja wa ngazi ya juu ilifikia mahali akasema waziwazi, kwamba yeye siku zote amejitahidi sana kuwa mcha Mungu, na asingeweza kuendelea kuwa sehemu ya uongozi ambao ulifikia hatua ya kuhalalisha kufanya maovu ya kiwango hiki kwa kudai ni kwa ajili ya...
Niwatake viongozi wanachama na wafuasi wa vyama vya siasa, "Tuzingatie taratibu na sheria za nchi, Uchaguzi huu uwe ni fursa ya kuimarisha zaidi umoja na demokrasia yetu ili tupate viongozi bora na walio imara. Kamwe tusiruhusu uchaguzi huu kuwa chanzo cha migogoro, chuki mivutano na uvunjifu wa...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Ulaya katika Ukanda wa Maziwa Makuu, Bw. Johan Borgstam, katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam.
Katika mazungmzo yao Viongozi...
Balozi Dkt. Asha Rose Migiro, Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Mipango na Mwenyekiti wa timu kuu ya kitaalamu ya uandishi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, amepongeza uteuzi wa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Ummy Nderiananga, akisema kuwa ni ushahidi wa jinsi serikali ya...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ataongoza ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano wa Kawaida wa 18 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje (RIMC) wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) utakaofanyika jijini Luanda, Angola...
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo mara baada ya Tamko Batili la Jeshi la Polisi la Kuzuia Maandamano Halali ya Chadema, Mkurugenzi wa Itifaki wa Chama hicho, John Mrema, amesema kwamba Wajibu Pekee wa Polisi kwenye mandamano yoyote ni kuimarisha Ulinzi tu, hawana Mamlaka yoyote ya...
WAZIRI KOMBO ASISITIZA AMANI NA USALAMA KATIKA KANDA YA SADC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amesisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha amani na usalama katika kanda ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
Balozi Kombo ametoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.