amani bila haki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    Nabii Rolinga: Kuhubiri Amani bila Haki ni sawa na kuliwekea kidonda mchanga

    “Bila haki hakuna amani tuhubirini haki kwanza, Popte penye haki amani upatikana, ukiwapa watu haki zao amani inakuja automatically” Nabii Rolinga.
  2. K

    Amani bila haki ni sawa na kusitisha vurugu kwa muda tu

    Pindi ambapo migogoro inakomeshwa juu juu bila kushughulikia chanzo chake kama dhuluma, ukandamizaji, utekaji, mauaji, ubaguzi, umasikini au kunyimwa haki, hali ya utulivu inayopatikana huwa ya muda mfupi tu. Watu wanaweza kunyamazishwa au kuchoka kupigana, lakini maumivu, hasira na kutoridhika...
  3. safuher

    Hayawezi kuwa maandamao ya Amani, kama Polisi hawatotoa Ulinzi

    Maandamano yoyote ambayo polisi hawakutoa Ulinzi hayawi ya amani kwa sababu kuna watu wenye akili tofauti wanaoweza kufanya uhalifu. Ili hawa watu wahalifu wanaojificha kwenye kivuli cha maandamano wasifanye uhalifu ndio maana sasa POLISI HUTAKIWA KUTOA ULINZI KWA WAANDAMANAJI. Kusisitiza peke...
  4. Yoda

    Papa Leo XIV apigilia msumari, asema hakuna AMANI bila HAKI

    "Ninawasihi Wakuu wa Nchi na viongozi wa mataifa kusikiliza kilio cha maskini zaidi. Hakuna amani bila haki. Maskini hutukumbusha hili kwa njia nyingi, kupitia uhamiaji na kupitia kilio chao, ambacho mara nyingi hufichwa na dhana ya ustawi na maendeleo, ambayo hayamshirikishi kila mtu." - Papa...
  5. Just Pray

    GE2025 Askofu Ruwa'ichi: Taifa letu limejeruhiwa, hakuna AMANI bila HAKI

    "Taifa letu limejeruhiwa na Taifa letu limepoteza heshima kutokana na yale yaliyojiri wiki ya uchaguzi mkuu.." amesema Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap. katika homilia aliyoitoa kwenye ibada ya Misa Takatifu ya Kuombea Waliofariki wakati wa Uchaguzi Mkuu Tanzania, Misa...
  6. Mhaya

    Haki hizi zikikosekana, Nchi haiwezi kuwa na Amani

    Kwa mujibu wa Tamko la Ulimwengu la Haki za Binadamu (Universal Declaration of Human Rights – UDHR) — lililopitishwa na Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa tarehe 10 Desemba, 1948 — kuna makala 30 zinazotambuliwa duniani kote kama haki za msingi za binadamu. 1 Haki ya Usawa (Right to Equality)...
  7. The Burning Spear

    Julius Nyerere (1987): Msingi wa Amani ni HAKI! Bila haki, huwezi kupata utulivu wa kisiasa

    GT Haya sasa wale wajinga wajinga ambao hamtaki kutamka.neo haki sikilizeni hii. Kiufupi HAKI ni matendo na AMANI ni Matokeo Mfano Heshima ni matokea lazima kuna matendo lazima uyafanye kupata heshima
  8. Mafyangula

    GE2025 Sheikh Kakulukulu: Amani ndiyo nguzo ya maendeleo. Hakuna maendeleo bila amani, hivyo tuilinde

    Viongozi wa dini mkoani Katavi wamekutana katika kikao maalum kujadili hali ya amani na mshikamano wa Watanzania, wakitoa wito kwa wananchi kuendelea kudumisha umoja na amani, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Wakizungumza kwa pamoja, viongozi hao wamesema...
  9. W

    GE2025 Heche: Amani haihubiriwi inakuja yenyewe ukitenda haki

    Kupitia ukurasa wake wa X Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche ameandika "Amani haibubiriwi inakuja yenyewe ukitenda haki.. Amani ni mazao ya haki, unakata mti wa haki alafu Unataka Matunda yake ambayo ni Amani!!!! Wewe utakua hauna akili. Mnaongea sana, mtaongea wote lakini bila...
Back
Top Bottom