Almas Kasongo ni kiongozi na mtendaji mkuu anayeheshimika sana katika tasnia ya usimamizi wa soka nchini Tanzania.
Nafasi ya Uongozi: Almas Kasongo anafahamika zaidi kwa nafasi yake kama Mtendaji Mkuu (CEO) wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB). Bodi hii ndiyo yenye dhamana (chini ya TFF) ya kusimamia, kuratibu, na kuendesha ligi zote za kiushindani nchini, ikiwemo Ligi Kuu (NBC Premier League), Ligi ya Championship, na Ligi Daraja la Kwanza (First League).
Mchango na Mapinduzi Kwenye Ligi: Chini ya utendaji wake na usimamizi wa bodi, Ligi Kuu ya Tanzania imepiga hatua kubwa sana kibiashara, kimapato, na kiushindani. Kumekuwa na maboresho makubwa kwenye udhamini wa ligi, haki za matangazo ya televisheni, na kuifanya ligi ya Tanzania kutambulika kama moja ya ligi bora na zenye mvuto zaidi barani Afrika.
Usimamizi wa Kanuni: Kama CEO wa Bodi ya Ligi, jukumu lake kubwa limekuwa ni kuhakikisha vilabu vinafuata kanuni za usajili (Club Licensing), kusimamia ratiba za mechi ambazo mara nyingi huwa na changamoto kutokana na michuano ya kimataifa, na kudhibiti nidhamu kwa kushirikiana na kamati mbalimbali za TFF.
Hii ya Mwenyekiti wa Bodi ya ligi kuwasilisha barua ya kujiuzulu na kusimamishwa kazi kwa Almas Kasongo ni geresha tu kwa Yanga ili waone hoja zao zimezingatiwa. Ninaamini baada ya game mbili za Yanga Vs Simba na Yanga Vs Singida hao jamaa watarejea kwenye majukumu yao tu.
Nimekaa paleeee
“Ni kweli tulipokea barua ya wito Juni 7 na leo tumeshiriki kikao kama tulivyoombwa na bodi ya Ligi kwenye kikao hiki maalum ambacho hakikuwa cha maandalizi ya mechi bali ni kujadili sintofahamu ya mchezo namba 184 wa Ligi Kuu.
“Kwenye kikao chetu tuliuliza pia kuhusu ripoti ya kilichotokea...
Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi kuu nchini Tanzania Almas Kasongo amesema kuwa kikao cha leo kilikuwa ni kikao cha kupokea matakwa ya Yanga Sc ambao wamekuja na matakwa manne ikiwa ni kujiuzuru kwa Mwenyeketi wa bodi ya ligi, kujihuzuru kwa Afisa Mtendaji mkuu wa TPBL, Katibu mkuu wa TFF na...
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo amesema kuwa michuano ya CHAN itapangua ratiba ya Ligi NBC na mashindano mengi hivyo maofisa wa ligi tangu jana wameanza kukaa kwa ajili ya kufanya mabadiliko ya ratiba ili kwenda sawa na ushiriki wa mashindano ya CHAN.
“Tumepokea hiyo ratiba ya Chan...
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almas Kasongo amesema msimu watatoa adhabu kwa Maofisa Habari wa timu wanaochekesha na kushindwa kuzungumzia Mpira huku akizikumbusha klabu kufuata kanuni kwa kuajiri maafisa habari wenye elimu ya habari.
“Kuna Muda unamsikiliza Ofisa Habari wa timu na...
Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi, Almas Kasongo amesema msimu ujao 24|25 Video Assistant Referee (VAR) itatumika ligi kuu.
Amesema, mfumo wa (VAR) utafungwa kwenye baadhi ya viwanja vinavyokidhi vigezo Nchini. Katika viwanja vya awali ni Benjamini Mkapa, Azam Complex, Mkwakwani Tanga na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.