alhad mussa salum

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    GE2025 Sheikh Alhad: Tuwasihi Gen-Z wetu changamoto hazitatuliwi kwa uharibifu

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Dkt. Alhad Mussa Salum, ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kuelimisha vijana kuhusu umuhimu wa kulinda amani ya nchi, akisema changamoto wanazokutana nazo haziwezi kutatuliwa kwa vurugu bali kwa hekima na subira. Akizungumza...
  2. Waufukweni

    GE2025 Sheikh Alhad Salum: Anayetaka damu imwagike Tanzania ni Shetani

    Sheikh Dkt. Alhad Mussa Salum, Mwenyekiti Wa Jumuiya Ya Maridhiano Na Amani Tanzania-JMAT Na Balozi wa Amani Duniani Kupitia Shirikisho La Amani Duniani (UPF), akizungumza kupitia Clouds TV leo Oktoba 23, 2025 amesema; "Sisi kama viongozi wa dini tuna wajibu na tusipofanya hivyo tunapata...
  3. Waufukweni

    GE2025 Sheikh Alhad Mussa: Tusiingizane mkenge, hakuna maandamano Oktoba 29, piga Kura rudi nyumbani

    "Tusiingizane mkenge, hakuna maandamano tarehe 29. Wasikuponze, wasikupotezee maisha yako, piga kura rudi nyumbani uangalie kinachoendelea. Usitafute makubwa yasiyokuhusu" — Sheikh Alhad Mussa Salum
  4. McLaren

    PreGE2025 Aliyekuwa Sheikh Mkuu Dar Es Salaam Alhad Mussa Salum atangaza matembezi ya watu 300 kutoka Dar hadi Dodoma "kuhamasisha" amani

    Wakuu, Tutaona mengi mwaka huu Amani nayo inatakiwa "kuhamasishwa"? Who is funding this? =================== Takribani watu 300 wanatarajiwa kushiriki matembezi ya hiari ya kilomita 452 kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma, wakidai kuhamasisha amani na maridhiano kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba...
  5. voicer

    Sheikh Alhad Mussa Salum huna ubavu kuufunga mjadala huu

    Nimemsikiliza huyu aliyewahi Kuwa sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, almaarufu Alhad Mussa Salum. Amekuja na tamko la hiyo wanayojiita kamati ya maridhiano na amani. Anaongea kinafiki, akiomba viongozi wa Dini kutorushiana maneno kutokana na kadhia ya mkataba wa DP-WORLD. Ameenda mbali na kusema...
Back
Top Bottom