Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imetangaza kuwatafuta washtakiwa Alex Msama Mwita na Benny Mwita Sammoh wanaokabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi ikiwemo kuongoza genge la uhalifu, kughushi, kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu pamoja na utakatishaji fedha kupitia shauri...
Machawa wa Serikali ya CCM kumbe ni mijitu mibaya kiasi hiki! Msama ukimuona kama mtu mwema ila ni jizi la hatari mtapeli viwanja vya watu!
==============
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imetangaza kuwatafuta washtakiwa Alex Msama Mwita na Benny Mwita Sammoh wanaokabiliwa na...
Mkurugenzi wa Msama Promotion Ndugu Alex Msama amesema kulingana na utafiti uliofanyika nchi nzima, Mgombea Urais wa CCM Samia Suluhu Hassan ndiye anayependwa zaidi kuliko Wagombea wa vyama vingine zaidi ya 16 vilivyosimamisha Wagombea Urais
Msama amaesema Watanzania zaidi ya Milioni 50...
Wakati wa mchakato wa kutia nia kwa wana CCM kuomba kugombea ubunge kwa majimbo mbalimbali ya Tanzania, mwana-CCM Alex Msama Mwita alikuwepo akilitaka Jimbo la Ukonga ambalo lipo jijini Dar es Salaam.
Hata hivyo, Msama aliachwa kwenye majina yalirudi jimboni kwa ajili ya kura za maoni ambapo...
Siku moja tu baada ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuondoa jina lake miongoni mwa watia nia wa Jimbo la Ubunge Ukonga jijini Dar, aliyetia nia, Alex Msama ametoa neno zito.
Msama ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Promotions & Dira Media ametoa neno...
WARAKA WA MOYO KWA MAMA YETU; RAIS DOKTA SAMIA SULUHU HASSAN
(SEHEMU YA KWANZA)
Na: Alex Msama Mwita 🇹🇿
Julai 26, 2025
UTANGULIZI
Mama. Nakuita tena, mama. Leo nikiwa nyumbani kwetu Tarime, mkoani Mara, moyo wangu umenisukuma kuandika waraka huu maalum kwako—waraka wa tafakari, shukrani na...
Jina la Alex Mwita Msama halihitaji utambulisho wa makelele mengi.
Alex Msama ameweka alama na nembo isiyofutika katika jamii ya Watanzania. Ameibua , kukuza na kuendeleza vipaji vya wengi kupitia muziki wa Injili.
Kwa miaka mingi, Alex Msama amekuwa kielelezo na mfano hai katika kumtumikia...
Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama amewataka watanzania kupuuza habari zinazogaa kuwa amefukuzwa kwenye nyumba yake ya Upanga Dar es Salaam,
"Video zinazosambaa zinatumika na watu wasio na nia njema na mimi na wana lengo la kunichafua hasa kipindi hichi cha vita za ubunge” Alex Msama...
Wakuu!
Alex Msama ameshangaa Viongozi wa Dini kufanya Siasa Makanisani akidai kuwa si rahisi kutumikia mabwana wawili na ukimtukana Rais Samia, unamtukana Mungu maana ndiye kampa Mamlaka.
"Katika Miaka minne ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan madarakani, amefanya mambo makubwa na mazuri,..maji yanamwagikama.Mvua,.. amefanya kila Mtanzania aishi kwa furaha mustarehe" - Alex Msama Mkurugenzi wa Msama Promotion.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
Viongozi wa dini mbalimbali nchini wanatarajiwa kufanya Tamasha kubwa la Maombi ya kuombea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu.
Akizungumza na vyombo vya habari Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama ambao ndio waandaaji wa tamasha hilo amesema tamasha litafanyika...
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Kuombea uchaguzi mkuu 2025, Alex Msama leo ameongea na wandishi wa habari kuwa Maandalizi ya Tamasha la kuombea uchaguzi yanaendelea vizuri na kuwa Tamasha hilo lipo na litafanyika Tarehe 20, Aprili 2025 katika jiji la Dar es Salaam na baadae...
alexalexmsama
ataka
chafu
kampeni
kuandaa
kuelekea 2025
kuombea uchaguzi mkuu
lugha
mkuu
siasa
tamasha
uchaguzi
uchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2025
umoja
viongozi
viongozi wa vyama
vyama
vyama vya siasa
wakati
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.