alex malasusa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Askofu Alex Malasusa: Tumeumizwa

    Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Gehaz Malasusa, amesema Kanisa limeshitushwa, kusikitishwa na kuumizwa kwa tukio la kushambuliwa na kujeruhiwa kwa Katibu Mkuu wa Baeaza la Maaskofu Katoliki Tanzania ( TEC), Pdri Dr Charles Kitima. Askofu Malasusa alendelea...
  2. W

    Askofu Malasusa: Kushambuliwa kwa Padre Kitima ni jambo la kinyama

    Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa amewataka Watanzania kumlilia Mungu ili roho za uovu dhidi ya watu wengine zipotee, huku akiwasihi kumuombea Padri Charles Kitima aendelee kuimarika kiafya. Padri Kitima ambaye ni Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu...
  3. M

    Ukimya wa Mkuu wa KKKT, Askofu Alex Malasusa tukio la Padri Kitima unatia shaka

    Ukimya wa Mkuu wa KKKT,Askofu Alex Malasusa kukaa kimya hadi sasa tangu kutokea tukio lililomkumba Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, unaweza kuibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa viongozi wa dini mara nyingi huonyesha mshikamano wanapokumbwa...
  4. PreGE2025 Rais Samia azungumza na Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Malasusa Ikulu

    Rais Samia akiwa kwenye mazungumzo na Uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani ulioongozwa na Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Aprili, 2025. Rais Dkt. Samia pamoja na viongozi hao wamejadili...
  5. Rais Samia ashiriki Ibada Maalum ya kumuingiza kazini Mkuu Mteule wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Malasusa, Azania Front, leo Januari 21, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Ibada Maalum ya kumuingiza kazini Mkuu Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, katika Viwanja vya Kanisa Kuu la Azania Front, Dayosisi ya Mashariki na Pwani jijini Dar...
  6. Uchaguzi KKKT: Askofu Malasusa achaguliwa kuwa Askofu Mkuu wa KKKT kuchukua nafasi ya Dkt. Fredrick Shoo

    Malasusa amepata kura 167 ambazo ni asilimia 64 ya kura zote zilizopigwa Askofu Malasusa alikuwa anagombea dhidi ya askofu Abednego Keshomshahara wa Dayosisi ya Bukoba aliyepata kura 73 na Askofu Dr George Fihavango wa Dayosisi ya Njombe aliyeshindwa katika duru ya kwanza. Hii itaakuwa ni mara...
  7. Kardinali Pengo na Askofu Malasusa ni kielelezo cha unafiki wa viongozi wa dini

    Hivi wakati huyu Msiba anatukana, kukashfu na kutishia watu, wao walikuwa wapi? Maaskofu wa Kanisa Katoliki waliwahi kuandika Waraka kukemea maovu wakati wa Magufuli lakini Pengo aliukana waraka ule. Leo yeye wa kumwombea Msiba msamaha kweli? Viongozi wa dini walikaa kimya hawakuonya chochote...
  8. Sakata la Askofu Alex Malasusa lachukua Sura Mpya, Watoto Watoroshwa

    MUME wa mwanamke anayedaiwa kumkamata ugoni Askofu Dk Alex Malasusa wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania (KKK) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, (DMP) anatafuta watoto waliotoroshwa kwa maelekezo ya Malasusa na Jeshi la Polisi, Akizungumza na MwanaHALISI online baada ya kuachiwa huru kutoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…