al ahly

Al Ahly Sporting Club (Arabic: النادي الأهلي للرياضة البدنية‎, literal translation: The National Club), commonly referred to as Al Ahly, is an Egyptian professional sports club based in Cairo. Al Ahly is the most successful team in Africa and is one of the continent's giants. Its professional football team plays in the Egyptian Premier League, the top tier in the Egyptian football league system, and is the most decorated football club in the world. The club was founded on 24 April 1907, as a gathering place for Cairo's Student Unions.
Al Ahly has a record of 42 national league titles, 37 national cup titles, and 11 national super cup titles, making them the most decorated club in Egypt. In addition, Al Ahly has never been relegated to the Egyptian Second Division.
In international competitions, the club has won a record 10 CAF Champions League titles, a CAF Confederation Cup, a record seven CAF Super Cups, a record four African Cup Winners' Cups, an Afro-Asian Club Championship, an Arab Club Champions Cup, an Arab Cup Winners' Cup, a record two Arab Super Cups, and has won two bronze medals in the FIFA Club World Cup. With 22 African titles, Al Ahly is the most successful football club in African history, and was voted by CAF as African club of the 20th century Al Ahly is the second most successful club in the world in terms of the number of International trophies won with 23 trophies behind Real Madrid.

View More On Wikipedia.org
  1. Red black

    CAF champion League :AL Ahly vs Yanga Africa l Cairo Internation stadium l 16:00pm

    Match of the day ;al Ahly vs Yanga Africa CAF champion League imerejea tena macho yote ya wapenda football yapo misri leo, Leo maji na mafuta yataanza kutengana. #all the best AL AHLY.
  2. Tembosa

    Al Ahly SC Vs Young Africans SC | CAF Champion League | Borg El Ara Stadium | 23rd January, 2026

    Match Day Al Ahly vs Young Africans 🏆 CAF Champions League 📆 23rd January, 2026 🏟️ Borg El Arab 🕰️ 🇪🇬 6pm | 🇹🇿 7:00pm #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
  3. Vincenzo Jr

    FT | Al Ahly 2-0 Yanga SC | CAF Champions League | Borg El Arab Stadium | Jan 23, 2026

    AL Ahly vs Yanga Leo Saa moja usiku kwa saa za Afrika Mashariki Afrika itasimama yote kupisha mtanange mkubwa zaidi kati ya Al Ahly SC na Yanga SC Kaa nami katika Uzi huu kwa update zaidi Kikosi kazi dhidi ya Al Ahly #cafcl #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko Mpira umeanza Dakika ya 14...
  4. Observer

    CAFCL Group Stage: Yanga yawekwa kundi moja na Al Ahly, Simba wapewa Esperance

    Upangaji wa makundi ya CAFCL umekamilika kwa Yanga kupangwa kundi moja ya Al Ahly wakati Simba itakuwa kundi moja na Esperance
  5. Waufukweni

    Messi, Miami washindwa kutamba mbele ya wababe wa Afrika, Al Ahly kwenye Club World Cup

    Pazia la michuano ya kombea Dunia kwa ngazi ya klabu limefunguliwa rasmi Alfajiri ya leo Juni 15, 2025 ambapo wawakilishi wa Afrika, Al Ahly ya Misri wametoshana nguvu kwa sare tasa na Lionel Messi na wenzake wa Inter Miami katika dimba la Hard Rock, Miami. Wakati mashabiki wa Inter Miami...
  6. U

    Tetesi: Za ndaani: TFF kutumia staili ya Zamaleki vs Al ahly sakata la Derby

    Nimepata habari za chini chini kuwa , Bodi ya Ligi inapanga kutumia staili na busara iliyotumika katika derby ya Al ahly na Zamaleki. Bodi ya Ligi Haina mpango wa kumpokonya Yanga point 15. Kwa ufupi Al ahly aligomea mchezo wake wa Derby dhidi ya Zamaleki, na Kwa taratibu zao ilipaswa Zamaleki...
  7. Waufukweni

    Al Ahly yamtimua kocha siku moja baada ya Mamelodi kuwatibulia CAFCL

    Klabu ya Al Ahly imemtimua kocha wake, Marcel Koller siku moja baada ya timu hiyo kutupwa nje ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini. Katika taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Aprili 26, 2025 uongozi wa Al Ahly umethibitisha kuwa umefikia makubaliano ya kuvunja mkataba...
  8. Dalton elijah

    Rasmi Klabu Ya National Al Ahly Imefuta Kazi Kocha Wake Marcel Kohler

  9. Uponyaji na uzima

    Baada ya Al Ahly kutolewa kwa goli la ugenini, tutaona CAF wanabadilisha hiyo sheria

    Kama kawaida baada ya timu yao pendwa kutolewa wataona umuhimu wa kuifuta hiyo sheria
  10. Smt016

    Full Time: Al Ahly 1 - 1 Mamelodi | Caf champions league | Semi final

    Mechi ya marudiano kati ya Al Ahly dhidi ya Mamelodi Dakika ya 8 bado milango migumu pande zote mbili Mamelodi wamekosa nafasi ya wazi kabisa.
  11. BlackPanther

    Kila la heri kwenu Al ahly na Pyramids

    .
  12. uran

    Mamelodi Sundowns 0 - 0 Al Ahly SC | CAFCL | Semi-Final | 1st Leg | Loftus Versfeld Stadium | 19-04-2025

    🚨𝙂 𝘼 𝙈 𝙀 𝘿 𝘼 𝙔🚨 ⚽ Mamelodi Sundowns vs Al Ahly FC 📆 19 April ⏰ 16H00 🏟 Loftus Versfeld Stadium Mtanange mkali sana huu! Mimi nitakuwa tayari kuwapa updates zote muhimu kwa Siku ya leo. Binafsi nawatakia Masandawana Kila la heri. VIKOSI VINAVYOANZA LEO. Mamelodi Sundowns Al Ahly...
  13. JanguKamaJangu

    Ahmed Ally: Kama tulimuua Al Ahly, Wydad, Berkane… hutuwezi kumshindwa Mwarabu wa Daraja la Nne, huyu ni size yetu kabisaaa

    “Wapo watu wanasubiri tufeli waanze kutukebehi sasa tutumie kila tulichonacho kwenda nusu fainali. Na tukimuangalia mwarabu tunayecheza naye huyu ni wa kawaida kabisa. Katika waarabu tumewahi kukutana nao huyu tunamuweza kabisa na hii tunaweza kufuzu.” “Sifa ya Simba, sifa ya Mwanasimba sio...
  14. Waufukweni

    FT | Al Ahly SC 1-0 Al Hilal Omdurman | Robo Fainali CAF CL | Cairo International Stadium | 01.04.2025

    Mechi ya mkondo wa kwanza ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly SC dhidi ya Al Hilal Omdurman inachezwa leo saa 4:00 usiku kwenye dimba la Cairo International Stadium. 🔴 Live updates utapata hapa! Tazama vikosi vya timu zote (Team news) Dahane Beida amepuliza kipyenga...
  15. KING MIDAS

    Klabu ya Al Ahly ya Nchini Misri imegoma kushiriki mechi yao ya dabi dhidi ya Zamalek

    Klabu ya Al Ahly ya Nchini Misri imegoma kushiriki mechi yao ya dabi dhidi ya Zamalek inayotarajiwa kuchezwa leo ikisisitiza kuwa Shirikisho la Soka la Misri (EFA) linapaswa kuteua Mwamuzi wa kigeni badala ya kutumia Waamuzi wa ndani pia Klabu hiyo imetishia kujiondoa kwenye Ligi Kuu ya Misri...
  16. Wakusoma 12

    Al Ahly wagombea mechi yao ya daby na Zamalek.

    Moderator, Paw 255Fixer , kichwa Cha habari kisomeke Al Ahly wagomea mechi ya dabi dhidi ya Zamalek. Klabu ya Al Ahly imegoma kushiriki mechi yao ya dabi dhidi ya Zamalek ikisisitiza kuwa Shirikisho la Soka la Misri (EFA) linapaswa kuteua mwamuzi wa kigeni badala ya kutumia waamuzi wa ndani...
  17. Dalton elijah

    Pyramids wanaendelea kuongoza ligi kuu Misri mbele ya Al Ahly

    Zamalek amekula chuma tatu kama amesimama na bao la kwanza ameweka Mayele mtu mbadi. Pyramids wanaendelea kuongoza Ligi Kuu Misri mbele ya Al Ahly. Kama nilivyosema mkisikia Pyramids wamechukua ubingwa msimu huu msishangae jamaa wanapiga Mpira Sana.
  18. Kichuguu

    Full Time: Stade D'abidjan 1- 3 Al Ahly | CAF Champions | group A

    Mpaka sasa Al Ahly keshabanwa vigololi vya mipira kwa bao 1-0. Stade Abidjan ambao ndio wanyonge wa kundi hilo wamemkamata koo Al-Ahly hapumui. Sasa hivi ni halfa time.
  19. magnifico

    Al Ahly SC yawatakia Merry Christmas Waumini wa Kanisa la Coptic huko Misri

    Leo ni Krismasi huko Ethiopia….! Pia kwa Coptic wa pale Alexandria Misri nao wanasherehekea sikukuu ya Krismasi na wao huifuata kalenda yao maalum…! Kwa Coptic huwa wanaita Alexandrian Calendar✅ Wanasherehekea kuzaliwa kwa Masihi Yesu Kristo kwa mujibu wa Kalenda yao ya Orthodox! Ethiopia...
  20. Waufukweni

    Tetesi: Al Ahly wanamtaka Ronaldo kwa mkopo wa miezi sita kwa ajili ya Kombe la Dunia la Vilabu Marekani

    Wakuu Inaelezwa kuwa Wajumbe wa bodi ya Al Ahly wamependekeza kwa Rais wa klabu hiyo, Mahmoud El Khatib, kujaribu kumsajili Cristiano Ronaldo kwa mkataba wa mkopo wa miezi sita kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia la Klabu litakalofanyika nchini Marekani. Baada ya kuweka rekodi ya mabao...
Back
Top Bottom