Ndugu zangu kwanza Natanguliza pole zangu za dhati Toka ndani ya moyo Wangu kwa familia zilizopoteza wapendwa wao katika ajari ya ndege ya Jana, Najuwa maumivu, machungu, majonzi, huzuni, simanzi waliyonayo mpaka Sasa, Najuwa wanalia mpaka Sasa, Najuwa wanabubujikwa machozi mpaka muda huu...