Serikali Nchini Cameroon imesema takriban watu 16 wamefariki dunia kwenye Klabu iliyopo Mji Mkuu wa Taifa hilo, Yaounde kufuatia ajali ya moto iliyosababishwa na fataki
Kwa Mujibu wa Wizara ya Habari na Mawasiliano, Ripoti ya Awali inaonesha ajali imesababishwa na milipuko ya fataki ambazo mara...
Makanisa mawili ya Pentekoste Tanzania (KLPT) na Tanzania Calvary Tabelinacle Church katika Kata ya Mshangano wilayani Songea mkoani Ruvuma yamechomwa moto na kuzua taharuki na wasiwasi miongoni mwa wananchi.
Makanisa mawili ya Pentekoste Tanzania (KLPT) na Tanzania Calvary Tabelinacle Church...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.