Nilikuwaga napenda sana kusoma vitabu lakini kiingereza chetu tulichokizoea shuleni na vyuoni bado kipo shallow sana, kila nikisoma kitabu nakutana na misamiati mipya, nilikuwa nachoka.
Siku hizi kuna AI yani nikikuta misamiati au sentensi ngeni naipaste to kwenye chat gpt, naelewa fasta