Maandamano ya amani , kubeba mabago na kuungana pamoja kuelekea sehemu ni vigumu sana kwa JESHI HILI,KWA POLISI HAWA na kwa UTAWALA HUU.
Tarehe 29.10.2025 tulifanikiwa vizuri kwa sababu tulikuwa na agenda ambayo ilikuwa ni violance in nature.
3. Hii ilikuwa inawezekana hata kama mko wawili au...
1. Umri wa mteja (moral decay)
2. Lugha ya mteja,(moral decay)
3. Hali ya uchumi wa mteja( Ugumu wa maisha.
4.Kukithiri kwa biashara haramu ya ngono isiyolipa kodi.
Ilifahamika na kuonekana bayana tangu mwanzo, kwamba kiongozi mpya wa chadema hana maono wala mipango madhubuti ya kuendesha chama kwa mipango mikakati maalumu ya kiuchumi na kujitegemea kama vyama vingine vya siasa,
Tazama sasa,
Maelezo marefu kwa muda mrefu kumbe dhumuni na agenda ilikua ni...
Ndicho chama pekee kinachozungumzwa sana na waTanzania kila kona na pembe ya Tanzania. Na ndiyo turufu ya umoja, amani na utulivu wa wanainchi Tanzania. Dhamira yake njema, mipango mikakati madhubuti ya uhakika, na malengo yake ya maendeleo endelevu, ndicho hasa kinachowavutia wananchi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.